Siku hizi ni kama vile hakuna maajabu tena kwenye kufanya mapenzi

Pole sana kazi na umri umeshakinai
kwahiyo inabidi ujikunjue mwenyewe tu dah, mi nilidhani haya mambo hayanaga umri, maana vizee vinapelekea moto vijukuu inakuaje hapo gentleman?πŸ’
 
Ndo maana nasema hilo tendo lifutwe.....
kwa sheria na kifungu kipi kwenye katiba kwa mfano?

hiyo ni kudhulumu haki za binadamu, ingawa kutegeana kwenye game na koonyesha show mbovu ni unyanyasaji wa kisaikolojia πŸ’
 
Hatari sana
 
Wengine sio uzee miaka 40 tu hamna kitu zaidi ya kupitisha haja ndogo ha ha ha ha
Mhn! Miaka 40 hamna kitu? Itakuwa umetokea kwenye umasikini mkubwa na life expectancy ni extremely low.
 
Acha zinaa..oa umfurahie mke wa ujana wako
siku izi kijana akioa,
Yes mnakula kuku mnakunywa na bia sana tu, lakini unamuonea huruma sana, ni kama kabeba bomu tu la kujitoa muhanga likamlipukie mwenyewe nyumbani, sijui kwanini aise?

halafu changamoto kubwa zaidi siku hizi ni haya haya ya game kufanyika chini ya kiwango..

sifahamu makosa ilifanyika wapi mpaka tukafikia huku kama jamii πŸ’
 
Mapenzi yanakutesa sana na ulivyo mpjinga unahisi wote tunateseka kias unaamua kugeneralise yanayokusibu.

Mapenzi matamu na watoto wa kizazi hiki ni wanyama vibaya mno mtu unaezamwaga ubongo.

Punguzi matumizi ya Pombe kali na Wanawake Wazee.
 
Hilo lipo wazi ila kwa umri wako ukishasaini posho ni kulala tu huku vieite ikiunguruma nje ikikungoja.
 

Sample space ya research yako ni ipi? Na umeitendeaje Haki kuja na hiyo conclusion jumuishi?
 
Mapenzi yanakutesa sana na ulivyo mpjinga unahisi wote tunateseka kias unaamua kugeneralise yanayokusibu.

Mapenzi matamu na watoto wa kizazi hiki ni wanyama vibaya mno mtu unaezamwaga ubongo.

Punguzi matumizi ya Pombe kali na Wanawake Wazee.
mapenzi yanatesaje tena gentleman na wakati ni zawadi ambayo iko available sana na bwerere mno nyakati hizi? Labda cha kushangaza tu ni kuona majamaa eti yanajiua au kuua wenzao kwaajili ya mapenzi dah !

halafu gentleman ,
kwani kuna mapenzi ya jumla na rejareja?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…