Siku hizi nimekuwa expert wa Wanawake

Siku hizi nimekuwa expert wa Wanawake

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee.

Kwa sasa nina over confidence naongea na mwanamke yoyote yule muda wowote iwe hata awe amenizidi kiasi gani lazima nitawale maongezi na nitaongea naye hata masaa matatu bila kupumzika.

Wanawake kama chai tu hawanipi shida tena.

Kutongoza mpaka leo sijui ila natafuna demu yoyote muda wowote ninaotaka na demu atashangaa tu nimeshamgonga na hatoelewa nimepita pita vipi mpaka nimemla.
 
Unafikiri umekuwa expert basi!!! Ni kwamba siku hizi wanawake wamejirahisisha Sana kutokana na utandawazi. Ila wewe bado upo vilevile yaani bado domozege.

Halafu zama za kujivunia kuwagonga Sana mademu mbona zimepitwa na wakati.

Walau ungejivunia kutangaza Nia ili uone Kama ungeweza kupambana na wajumbe. Shwain.
 
Mkuu, wewe si ndio ulikua unaomba Kasie awe shangazi yako???

Ulikua na mpango gani nae??
 
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee.

Kwa sasa nina over confidence naongea na mwanamke yoyote yule muda wowote iwe hata awe amenizidi kiasi gani lazima nitawale maongezi na nitaongea naye hata masaa matatu bila kupumzika.

Wanawake kama chai tu hawanipi shida tena.

Kutongoza mpaka leo sijui ila natafuna demu yoyote muda wowote ninaotaka na demu atashangaa tu nimeshamgonga na hatoelewa nimepita pita vipi mpaka nimemla.
We fala ww utakufa ww asilimia 80 ya mademu wanaojirahisosha wana magonjwa we jion mjanja kumbe umeingia chaka ndio nyiny baadae mnaanza kujilaumu oooh ngono haina faida ngono ni nzur ila itumie vzr
 
Mi nilijua Kijana umefanikiwa kimaisha ukiwa na umri mdogo hadi umefungua Uzi kumbe umejua kuongea na Wanawake
 
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee.

Kwa sasa nina over confidence naongea na mwanamke yoyote yule muda wowote iwe hata awe amenizidi kiasi gani lazima nitawale maongezi na nitaongea naye hata masaa matatu bila kupumzika.

Wanawake kama chai tu hawanipi shida tena.

Kutongoza mpaka leo sijui ila natafuna demu yoyote muda wowote ninaotaka na demu atashangaa tu nimeshamgonga na hatoelewa nimepita pita vipi mpaka nimemla.

Itakuwa sasa una mihela ndio maana
 
Aya bhana kila mtu apambane na Hali yake
 
Nilivyosoma tu uzi wako nikakumbuka ile nchi iliyotangaza kuwa raia wa Tanzania wakifika kwao itabidi wapimwe covid 19 mara mbili mamaaeee[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom