Namba 26
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 309
- 918
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee.
Kwa sasa nina over confidence naongea na mwanamke yoyote yule muda wowote iwe hata awe amenizidi kiasi gani lazima nitawale maongezi na nitaongea naye hata masaa matatu bila kupumzika.
Wanawake kama chai tu hawanipi shida tena.
Kutongoza mpaka leo sijui ila natafuna demu yoyote muda wowote ninaotaka na demu atashangaa tu nimeshamgonga na hatoelewa nimepita pita vipi mpaka nimemla.