Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Uchunguzi wangu wa muda mfupi unaonyesha kuwa huku mitaani kuna upungufu mkubwa wa wanawake wenye mimba. Hii maanake ni kwamba wanawake hawa hawaingiliwi na wanaume zao.
Nikajaribu kufanya kautafiti nikagundua sababu moja tu inayopelekea haye.
1. Vijana/wanaume wengi kwa sasa wanashindwa ama hawana muda wa kujamiina na wenza wao. Na hii imesababishwa na wengi kuingia kwenye hii mchezo ya kubashiri.
Unakuta kijana/mwanaume anashinda usiku akiangalia mikeka inaendeleaje. Na kama alikuwa na matumaini ya kupata, ikitokea mkeka ukachanika ndio basi tena, huduma za ndani kwa siku hiyo ndio hamna kabisa.
Kwa Miaka michache iliyopita kukutana na wamama wajawazito ilikuwa ni jambo la kawaida kabisa. Ila kwa sasa kuna upungufu mkubwa wa mama wajawazito.