Siku hizi sikutani na wanawake wengi wenye mimba mtaani sababu wanaume wamejikita kwenye kubeti

Siku hizi sikutani na wanawake wengi wenye mimba mtaani sababu wanaume wamejikita kwenye kubeti

Sio kweli, tembelea Siku Moja hospitali utawaona wa kutosha.

Juzi nilitembelea hospitali fulani ya private hapa Mjini, niliwakuta wengi tu halafu asilimia 96 ya niliowaona, wamevaa shorts

Yaani unamkuta Mjamzito amependeza hatari, halafu amenona ile mbaya 😋

Daah, bora tumezeeka tu 🙌
Babu unataka kutafuna wajawazito nini?
 
Mimba vs betting
Tuanzie hapa uhusiano wake mkuu ufungue wengine m ne bettor na Nina watoto wanna na nimeanza kubet miaka 9 iliyopita...WA Tano Yuko Nje lakini Mungu anaemjua kama n wangu..sasa nipe mahusiano kidogo pengine nikipumzika naweza ongezaa kumfikia 7
Nimesema kuna upungufu wa wanawake wajawazito mitaani. Na nikaongeza miaka michache iliyopita kukutana nao ilikuwa ni kawaida sana.
Sasa hapo ulipo, nakupa homework. Kwenye miangaiko yako uje uniambie umekutana na wanawake wangapi wenye mimba.
Betting ni janga la kitaifa. Hii kubali, kataa. Vijana wengi hwanakesha wakiwa vitanda na simu zao wakiangalia mikeka. Kiakili hii sio rahisi kudeal na mambo mawili kwa wakati m1. So unakuta mtu muda wote anafikiria mikeka. Kama jana game ya barca vs Atletico imeanza saa 5:30 usiku. Hii maanake mtu anataka saa 8 haiku.
 
Kipindi Mungu anasema nendeni mkaujaze ulimwengu kulikuwa hakuna ada hakuna mavazi vyakula mnaokota tu ... Zingatia hilo...
 
Cost of Living in Uganda

MarketsEdit
Milk (regular), (1 liter)2,443.37 USh1,500.00-4,000.00
Loaf of Fresh White Bread (500g)4,498.48 USh2,500.00-6,000.00
Rice (white), (1kg)4,876.92 USh4,000.00-6,000.00
Eggs (regular) (12)6,517.19 USh4,800.00-12,000.00
Local Cheese (1kg)16,299.86 USh6,000.00-30,000.00
Chicken Fillets (1kg)17,421.05 USh8,099.04-29,389.29
Beef Round (1kg) (or Equivalent Back Leg Red Meat)15,086.96 USh13,000.00-18,000.00
Apples (1kg)9,902.90 USh5,000.00-15,000.00
Banana (1kg)5,334.21 USh3,000.00-8,099.04
Oranges (1kg)6,756.19 USh3,000.00-15,000.00
Tomato (1kg)5,444.55 USh3,000.00-10,000.00
Potato (1kg)5,186.69 USh2,000.00-10,000.00
Onion (1kg)6,255.12 USh3,000.00-10,000.00
Lettuce (1 head)3,571.43 USh1,500.00-6,000.00
Water (1.5 liter bottle)2,045.45 USh1,500.00-3,000.00
Bottle of Wine (Mid-Range)40,000.00 USh20,000.00-65,000.00
Domestic Beer (0.5 liter bottle)4,205.88 USh3,000.00-5,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)7,192.31 USh4,000.00-14,694.64
Cigarettes 20 Pack (Marlboro)10,000.00 USh5,000.00-20,000.00

Transportation
Edit
One-way Ticket (Local Transport)3,000.00 USh2,000.00-5,000.00
Monthly Pass (Regular Price)135,000.00 USh0.00-173,913.04
Taxi Start (Normal Tariff)2,500.00 USh2,000.00-10,000.00
Taxi 1km (Normal Tariff)1,000.00 USh1,000.00-3,000.00
Taxi 1hour Waiting (Normal Tariff)15,000.00 USh5,000.00-25,000.00
Gasoline (1 liter)5,302.69 USh5,000.00-6,000.00
Volkswagen Golf 1.4 90 KW Trendline (Or Equivalent New Car)32,500,000.00 USh25,000,000.00-35,000,000.00
Toyota Corolla Sedan 1.6l 97kW Comfort (Or Equivalent New Car)32,900,000.00 USh30,000,000.00-37,500,000.00
Restaurants
Edit
Range
Meal, Inexpensive Restaurant
10,000.00 USh​
5,000.00-15,000.00
Meal for 2 People, Mid-range Restaurant, Three-course
90,000.00 USh​
60,000.00-150,000.00
McMeal at McDonalds (or Equivalent Combo Meal)
33,736.50 USh​
25,000.00-36,736.61
Domestic Beer (0.5 liter draught)
5,000.00 USh​
3,000.00-7,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)
10,000.00 USh​
7,000.00-15,000.00
Cappuccino (regular)
9,667.94 USh​
6,000.00-15,000.00
Coke/Pepsi (0.33 liter bottle)
1,666.67 USh​
1,000.00-3,000.00
Water (0.33 liter bottle)
1,107.14 USh​
1,000.00-2,000.00

Utilities (Monthly)Edit
Basic (Electricity, Heating, Cooling, Water, Garbage) for 85m2 Apartment151,388.89 USh80,000.00-240,000.00
Mobile Phone Monthly Plan with Calls and 10GB+ Data54,466.67 USh30,000.00-100,000.00
Internet (60 Mbps or More, Unlimited Data, Cable/ADSL)257,777.78 USh120,000.00-500,000.00

Sports And Leisure
Edit
Fitness Club, Monthly Fee for 1 Adult148,750.00 USh75,000.00-240,000.00
Tennis Court Rent (1 Hour on Weekend)19,000.00 USh10,000.00-36,000.00
Cinema, International Release, 1 Seat23,500.00 USh18,000.00-40,000.00

Childcare
Edit
Preschool (or Kindergarten), Full Day, Private, Monthly for 1 Child442,222.22 USh300,000.00-1,000,000.00
International Primary School, Yearly for 1 Child13,375,000.00 USh6,000,000.00-28,000,000.00

Clothing And Shoes
Edit
1 Pair of Jeans (Levis 501 Or Similar)63,000.00 USh30,000.00-80,000.00
1 Summer Dress in a Chain Store (Zara, H&M, ...)48,750.00 USh30,000.00-120,000.00
1 Pair of Nike Running Shoes (Mid-Range)122,222.22 USh70,000.00-200,000.00
1 Pair of Men Leather Business Shoes184,444.44 USh100,000.00-300,000.00

Rent Per Month
Edit
Apartment (1 bedroom) in City Centre1,227,272.73 USh500,000.00-2,543,822.07
Apartment (1 bedroom) Outside of Centre711,538.46 USh400,000.00-1,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) in City Centre3,355,555.56 USh1,200,000.00-7,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) Outside of Centre1,338,461.54 USh700,000.00-3,000,000.00

Buy Apartment Price
Edit
Price per Square Meter to Buy Apartment in City Centre4,113,880.53 USh3,600,000.00-4,741,641.60
Price per Square Meter to Buy Apartment Outside of Centre3,584,000.00 USh2,720,000.00-3,800,000.00
 
Nimesema kuna upungufu wa wanawake wajawazito mitaani. Na nikaongeza miaka michache iliyopita kukutana nao ilikuwa ni kawaida sana.
Sasa hapo ulipo, nakupa homework. Kwenye miangaiko yako uje uniambie umekutana na wanawake wangapi wenye mimba.
Betting ni janga la kitaifa. Hii kubali, kataa. Vijana wengi hwanakesha wakiwa vitanda na simu zao wakiangalia mikeka. Kiakili hii sio rahisi kudeal na mambo mawili kwa wakati m1. So unakuta mtu muda wote anafikiria mikeka. Kama jana game ya barca vs Atletico imeanza saa 5:30 usiku. Hii maanake mtu anataka saa 8 haiku.
Hadiwazee nn vijana
 
Anataka mimba nyingine

Ndio maana ma dk wanawagonga sana wajawazito mkuu uliza
Kwa kulitambua hilo, ndiyo maana mimba zote za Bibi yenu nilikuwa nampeleka mwenyewe hospitali

Chukulia siku anapima ultrasound, halafu kiunoni ana shanga🙌

Madaktari wana majaribu sana aisee
 
Kwa kulitambua hilo, ndiyo maana mimba zote za Bibi yenu nilikuwa nampeleka mwenyewe hospitali

Chukulia siku anapima ultrasound, halafu kiunoni ana shanga🙌

Madaktari wana majaribu sana aisee
Kumpelekea mwenyewe aisaidii mkuu

Akiimgia kile chumba n yeye na dk

Na kama wanataka kula wanapiga sindano flan apumxike jamaa wanambatoweee WAKIMALIZA akizinduka mwepesi unarudishiwa

We mvalishe vimin useme unampeleka mwenyewe wanapiga nae simultenious
 
Hahaha...........nilivyo na wivu, huwa naingia naye mule mule

Kwa namna Wazee tunavyojua kupoint mabibi warembo, madaktari hawawezi kuchezea fursa ya kupiga chata 😜
 
Hahaha...........nilivyo na wivu, huwa naingia naye mule mule

Kwa namna Wazee tunavyojua kupoint mabibi warembo, madaktari hawawezi kuchezea fursa ya kupiga chata 😜
Mi mke mrembo niligoma Hilo

Awe na akikitimamu sifa yakwanza
Awe na afya
HEKIMA
Maarifa
Mengine tutarekebishana ndan
 
Mi mke mrembo niligoma Hilo

Awe na akikitimamu sifa yakwanza
Awe na afya
HEKIMA
Maarifa
Mengine tutarekebishana ndan
Hahaha...........pamoja na hizo sifa zako, lakini urembo pia ni muhimu

Imagine umempiga shorts, unyunyu halafu mnatoka kwaajili ya night walk

Kuoa Mke mrembo nayo ni muhimu, hata akikuzalia watoto wakike wanakuwa warembo

Kwani Kuna Mzazi hapendi bintiye aolewe na fuso mbili za ng'ombe 🤗
 
Salute
 
Back
Top Bottom