Siku hizi sikutani na wanawake wengi wenye mimba mtaani sababu wanaume wamejikita kwenye kubeti

Siku hizi sikutani na wanawake wengi wenye mimba mtaani sababu wanaume wamejikita kwenye kubeti

Wanawake huwa wanataka kuzaa tu na kuitwa mke wa fulani. Alafu baada ya hapo anataka urudishe fadhila kwake kama vile ilikuwa ni lazima kuishi nae.

Shule zikidai ada,utasikia hebu nendeni kamueleze baba yenu huko.

Kuna ndugu yangu ni mteja mzuri wa maduka ya Meridian na anamsomesha mwanae Braeburn(dsm).

Biashara anazo ila anajiongeza pia kwenye kamari.

Wanawake ndiyo huleta mahangaiko kwenye hii dunia.
 
Back
Top Bottom