kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
kuna ndugu yangu kaoa sikumchangia sa hivi ananiita fake friendsi tuligoma kuoa nani tena kaoa na kachangisha..??
muache na balaa lake...πkuna ndugu yangu kaoa sikumchangia sa hivi ananiita fake friend
Ndio uhalisia, michango ya harusi ndio kipimo cha upendo. Japo naelewa kwa wengi hiyo ndo moment yao kubwa lakini kuifanya kuwa ni lazma kwa watu wao wa karibu pasipo kuangalia hali zao. Si sawakuna ndugu yangu kaoa sikumchangia sa hivi ananiita fake friend
Kabisa mkuu afu usipochangia wanaona kama wewe sio rafiki wa kweli wakati suala la kuoa sio dharulaWanatukosea sana kutudai michango swala la harusi ni wao ndio wanapanga waoane lini wanatakiwa wajiandae kwa kila kitu hii ni michango ni kutafutana lawama tu
Kabisa mkuuNi kukosa akili tu
Naitwa fake friend huku mkuuFake friend ππ
Mchango wa harusi sio hiyari tena limekuwa jambo la dharulaSkuizi hii nchi imeshakuwq na mambo mengi ya kijinga sana aiseee....
Yani papuchi akaifaidi yeye,then mimi nimchangie?
Nimenuniwa hukumuache na balaa lake...π
Kabisa kaka wanatuhukumu bure sio kwamba hatupendi kuchangia ila hali ngumu afu kiasi wanachopanga mtu achangie sio rafiki unakuta single 50000 double 100000 afu wengine kipato chetu 150000 kwa mwezi inasikitishaNdio uhalisia, michango ya harusi ndio kipimo cha upendo. Japo naelewa kwa wengi hiyo ndo moment yao kubwa lakini kuifanya kuwa ni lazma kwa watu wao wa karibu pasipo kuangalia hali zao. Si sawa
Sema kama una pesa jaribu kutoa '' usiache mbachao kwa msala upitao ''Naitwa fake friend huku mkuu