kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #21
Tunapenda kutoa kaka unakuta tuko kwenye hali mbaya usipotoa wanakubatiza jina fake friend hivi na ulaya iko hivo??Sema kama una pesa jaribu kutoa '' usiache mbachao kwa msala upitao ''
Kwa ishu za kupita ni vyema ukajitoa , maana kuna mengi sana ya kusaidia ..Onyesha umuhimu pale mtu anapohitaji msaada wako kama unao uwezo ..