kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
-
- #21
Tunapenda kutoa kaka unakuta tuko kwenye hali mbaya usipotoa wanakubatiza jina fake friend hivi na ulaya iko hivo??Sema kama una pesa jaribu kutoa '' usiache mbachao kwa msala upitao ''
Kwa ishu za kupita ni vyema ukajitoa , maana kuna mengi sana ya kusaidia ..Onyesha umuhimu pale mtu anapohitaji msaada wako kama unao uwezo ..
😂😂Afu wanaweka bei kubwa kubwa tu utasikia single 100,000Mimi ukinipa kadi ya harusi basi jua umetangaza Vita nitakukimbia mpaka naungia kaburini ,nikikuona kwa mbali Mimi ni 🏃
Ndiyo hivyo Sasa Mimi nikuchangie laki na Nina mikopo benki ,kwenye mshahara nimebakiza laki mbili unusu alafu eti nikate laki nzima nikupe ? Thubutu Mimi ni mwendo wa mbio na kukukwepa mpaka uombe msamaha wewe mwenyewe.😂😂Afu wanaweka bei kubwa kubwa tu utasikia single 100,000
elfu kumi waiona ndogo kwako kaka hawa single ilikuwa 50,000Ina maana hata elf kumi ya mchango hukumpa na alikuomba?
😂😂😂afu wanadai kwa nguvu sana kaka na kwenye magroup yao wanakuunga bila hata kukushirikishaNdiyo hivyo Sasa Mimi nikuchangie laki na Nina mikopo benki ,kwenye mshahara nimebakiza laki mbili unusu alafu eti nikate laki nzima nikupe ? Thubutu Mimi ni mwendo wa mbio na kukukwepa mpaka uombe msamaha wewe mwenyewe.
Mimi hata waniunge kwenye magrupu yao yaaani sileft group wala nini ila mpaka wao wenyewe watanileftisha tu maana uwa sichangii chochote nakuwepo kama mpelelezi wa harusi yao .😂😂😂afu wanadai kwa nguvu sana kaka na kwenye magroup yao wanakuunga bila hata kukushirikisha
hahaha kaka una mbinu za kivita sana kumbe huwa unapata hata ujasiri wa kuwapongezaMimi hata waniunge kwenye magrupu yao yaaani sileft group wala nini ila mpaka wao wenyewe watanileftisha tu maana uwa sichangii chochote nakuwepo kama mpelelezi wa harusi yao .
Ila harusi ikiisha wakaanza kuongelea harusi ,basi na Mimi hapo nitawapongeza Sana na kuview picha zao na kusema mlipodendeza sana ,ni hapo lazima wanipopoe ,nikishapopolewa nakuwa nimepata chance ya kuleft maana Mimi mtu mzima siwezi kubali kupopolewa kizembe hivyo
wanakosea kutuona fake friendskila mtu abebe msalaba wake kutafutiana lawama tu
Hii haipingwi.Skuizi hii nchi imeshakuwq na mambo mengi ya kijinga sana aiseee....
Michango jau sana. Hizi nguvu tungezielekeza kwenye koo zetu kuchangia Wagonjwa na walioanguka kiuchumi tungebarikiwa sana.
Au harusi ikiwa ya bei ndogo kwa Mungu haitambuliki?
Upo sahihi sana mkuuMichango jau sana. Hizi nguvu tungezielekeza kwenye koo zetu kuchangia Wagonjwa na walioanguka kiuchumi tungebarikiwa sana.
Au harusi ikiwa ya bei ndogo kwa Mungu haitambuliki?
hahaha kuwa huna habari mkuuKumbe kuoa pia kuna michango na hamsemi?
Hapo kakuhurumia, kama ni rafiki anataraji umpige push kubwa tofauti na michango ya kadi.Kabisa kaka wanatuhukumu bure sio kwamba hatupendi kuchangia ila hali ngumu afu kiasi wanachopanga mtu achangie sio rafiki unakuta single 50000 double 100000 afu wengine kipato chetu 150000 kwa mwezi inasikitisha
Uliposema walioanguka kiuchumi Mimi hoi ,yaani inamaanisha wamekula mweleka wa uchumiMichango jau sana. Hizi nguvu tungezielekeza kwenye koo zetu kuchangia Wagonjwa na walioanguka kiuchumi tungebarikiwa sana.
Au harusi ikiwa ya bei ndogo kwa Mungu haitambuliki?