Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani

Ukiona mtu kakufuata kukuomba mchango ujue ametambua ya kuwa unanafasi kwenye maisha yake,siyo kila mtu anaombwa mchango,haya yeye kakuomba mchango kwenye sherehe wewe ukipata tatizo zito yeye atakufuata tu siyo mpaka umuombe akusaidie
 
Nafasi ya konyo. Anachotaka yeye ni kutimiza bajeti yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…