Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Mzigo unatoka wenyewe mpaka njia ya mkojo inakaribia kuziba.
mimi mashine ilikuja ikavimba ikawa kubwa mara 2 aisee kuishikatu ni maumivu makali sana nikikojoa bado maumivu ya kung'ang'ania kwenye boxer bado kero sa uchafu bado kero ya homa na wenge aiseee acha kabisaaa
 
Acheni kuendekeza ngono vijana oeni

ujana ni maji ya moto kuna mda hayo maji yatapoa tu

Namuomba Mungu aniepushe na Zinaa
Sasa huo ujana wa moto si ndo inabidi uutumie effectively ili ukifika huo muda ukapoa ukikumbuka ya nyuma unasema yes kazi niliifanya
 
mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno na kwa ndani ya mgongo.
Uti iliyokomaa ndio inaathiri figo. Ukianza kuhisi maumivu ya nyonga na mgongo ikiambatana na homa UTI Inakuwa imeshavamia figo. Kwa mwanamke mara nyingi UTI ikianza unahisi mkojo kuchomachoma wakati unakojoa. Ukiwahi kwa maji mengi unaweza ku clear kabla haijaenda mbali. Pia ukipendelea kunywa maji mengi UTI unakuwa hupati mara kwa mara
 
We chakata tu boss. Kila mtu atumie masaa yake ya kuwa hai duniani kwa namna anavyoona ni sahihi kwake. Kwangu mm katika haya masaa niliyopewa nimechagua njia ya kuwa na mke na kulea watoto tukiwa pamoja.
Sawa, ngoja tukomae boss wangu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Uti iliyokomaa ndio inaathiri figo. Ukianza kuhisi maumivu ya nyonga na mgongo ikiambatana na homa UTI Inakuwa imeshavamia figo. Kwa mwanamke mara nyingi UTI ikianza unahisi mkojo kuchomachoma wakati unakojoa. Ukiwahi kwa maji mengi unaweza ku clear kabla haijaenda mbali. Pia ukipendelea kunywa maji mengi UTI unakuwa hupati mara kwa mara
thanks
 
Atokee mtaalam awatofautishie gono na u.t.i kwa uelewa wng ule usaha unaochafua boxer ule sio uti ni gono.
sio gono mkuu maana navyo jua gono ukipata harufu yake lazima ukimbiwe mazeee baba
 
mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno na kwa ndani ya mgongo.
Wewe ni ME au KE
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.

Hivi inakuwaje wao hawajijui kuwa wana magonjwa? Au yanakuwa sugu kwahiyo wamezoea tu.. na ukikuta hivyo ujue ni malaya kweli yan.. mi nikiona dalili yoyote tu namblock
 
Tusitishane mkuu. Wote tutakufa
Kwani ni suala la kutishana au ni suala la uhalisia? KIFO NDIO KINAKUJA, NI VILE HUNA SAA TU YA KUKUONYESHA KIMEKARIBIA KWA UKARIBU GANI LAKINI KINASOGEA KILA SIKU. Ndo maana nakwambia chakata mbususu maana ndo maamuzi yanayokupa raha, kifo kinakuja hutaweza zichakata tena.
 
Back
Top Bottom