Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Nawashangaa, UTI inasumbua wanawake wengi hata watoto wa kike wadogo ambao hawajaanza ngono. Na style ya maisha , vyoo vichafu, jinsi ya kujisafisha ukienda haja kubwa. Maji machafu ya kunawia. Kama ni magonjwa ya zinaa sawa lakini UTI haihusiani
Kweli kabisa
 
Mashine zinachoka nazo muda wote kuzitembeza mara huyu mara huyu why zisivimbe🤣🤣🤣
Mashine haiwezi kuvimba kwa lejendi wewe sema kutulizana au kuwa na self control ni bora sana
 
Kuna raha ya kula mwanamke mmoja unayemwamini. Sijawahi umwa hata muwasho na siku nikipata najua exactly ni nani kanipa hayo majanga.
Duuuh kama kweli wako wanaume waaminifu basi na iwe ni kwa wanawake waaminifu pia.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Unasema kweli mkuu hata mimi imenitokea sana mpaka sasa hata dem awe mzuri aje bila condom bora niache tu

yaani hizi antibayotiki nimemeza hatari
 
Mazoezi ya hisia tu kwani ma padre na masister wanaishije miaka yote hio. Ishu ni mindset.
Kujichua ni kufanya ngono na majini wengi awaelewi hili kwamba wanauza mbegu zao kwa shetani.
Shetani ndo nani huyo ebu nionyeshe nimuone
 
Hata kwenda, kwanza nilimwambia anasema sio Yeye wakati Nina miezi since last sex ila Yeye tu nikaanza umwa,, afu Yeye hajijui sijawahi kutana na gono Kali vile
Pumbavu kabisa hawa viumbe alafu doctor anakwambia uende nae na yeye akatibiwe. [emoji57] Atajua mwenyewe huko
 
Hata kwenda, kwanza nilimwambia anasema sio Yeye wakati Nina miezi since last sex ila Yeye tu nikaanza umwa,, afu Yeye hajijui sijawahi kutana na gono Kali vile
acha kabisa na wanajua kuji tetea sana.
 
Wadada wa age hiyo wanatumika sana na wengi ni hawa wa kiasasa waliozaliwa 95-2005
Halafu usafi hawazingatii wanakalia kupodoa sura na kujali chura ionekane. Mikononi wanamakucha ya Ghalama uchafu huko chini lazima wawe na magonjwa.

Ushauri wangu namba C,B, A wanafaa zaidi maana wanajitambua au tumieni kinga
Ila namba D na E bado wabichi kiongozi
 
Back
Top Bottom