Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Uti na usaha wapi na wapi?sio gono mkuu maana navyo jua gono ukipata harufu yake lazima ukimbiwe mazeee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uti na usaha wapi na wapi?sio gono mkuu maana navyo jua gono ukipata harufu yake lazima ukimbiwe mazeee baba
Kwani uongo.. Wanaongea hao kasuku wanasoma namba 😀😀Watake radhi mkuu, ni wake zetu dada zetu na mashangazi pamoja na watoto
Kweli kabisaNawashangaa, UTI inasumbua wanawake wengi hata watoto wa kike wadogo ambao hawajaanza ngono. Na style ya maisha , vyoo vichafu, jinsi ya kujisafisha ukienda haja kubwa. Maji machafu ya kunawia. Kama ni magonjwa ya zinaa sawa lakini UTI haihusiani
Kwema kaka, habari yako
Mashine haiwezi kuvimba kwa lejendi wewe sema kutulizana au kuwa na self control ni bora sanaMashine zinachoka nazo muda wote kuzitembeza mara huyu mara huyu why zisivimbe🤣🤣🤣
Hahah.. legendi 🤭Mashine haiwezi kuvimba kwa lejendi wewe sema kutulizana au kuwa na self control ni bora sana
Usijumuishe wote
Duuuh kama kweli wako wanaume waaminifu basi na iwe ni kwa wanawake waaminifu pia.Kuna raha ya kula mwanamke mmoja unayemwamini. Sijawahi umwa hata muwasho na siku nikipata najua exactly ni nani kanipa hayo majanga.
Shetani ndo nani huyo ebu nionyeshe nimuoneMazoezi ya hisia tu kwani ma padre na masister wanaishije miaka yote hio. Ishu ni mindset.
Kujichua ni kufanya ngono na majini wengi awaelewi hili kwamba wanauza mbegu zao kwa shetani.
Upo nae siku zote mbonaShetani ndo nani huyo ebu nionyeshe nimuone
jibu langu ni moja kwako ni hivi huja wahiii kuumwa ndo maana ni ngumu kuelewa. ngoja niishie hapoUti na usaha wapi na wapi?
Sio wote waliokengeukaMapadre wanatoka sana na hao masista mapadri wengine wana scandal za kuwalawiti watoto wa kiume. Na masista nao wanagongwa tu kama mademu wengine
Pumbavu kabisa hawa viumbe alafu doctor anakwambia uende nae na yeye akatibiwe. [emoji57] Atajua mwenyewe huko
acha kabisa na wanajua kuji tetea sana.Hata kwenda, kwanza nilimwambia anasema sio Yeye wakati Nina miezi since last sex ila Yeye tu nikaanza umwa,, afu Yeye hajijui sijawahi kutana na gono Kali vile
Kweli aisee kwa ile pic yako kule jamaa asijumishe yote binafsi nakubali 😉Usijumuishe wote
Uliugua ugonjwa wa zinaa wewe sio UTIjibu langu ni moja kwako ni hivi huja wahiii kuumwa ndo maana ni ngumu kuelewa. ngoja niishie hapo
Ila namba D na E bado wabichi kiongoziWadada wa age hiyo wanatumika sana na wengi ni hawa wa kiasasa waliozaliwa 95-2005
Halafu usafi hawazingatii wanakalia kupodoa sura na kujali chura ionekane. Mikononi wanamakucha ya Ghalama uchafu huko chini lazima wawe na magonjwa.
Ushauri wangu namba C,B, A wanafaa zaidi maana wanajitambua au tumieni kinga