ameongea ukweli.Usijumuishe wote
mimi mashine ilikuja ikavimba ikawa kubwa mara 2 aisee kuishikatu ni maumivu makali sana nikikojoa bado maumivu ya kung'ang'ania kwenye boxer bado kero sa uchafu bado kero ya homa na wenge aiseee acha kabisaaaMzigo unatoka wenyewe mpaka njia ya mkojo inakaribia kuziba.
Sasa huo ujana wa moto si ndo inabidi uutumie effectively ili ukifika huo muda ukapoa ukikumbuka ya nyuma unasema yes kazi niliifanyaAcheni kuendekeza ngono vijana oeni
ujana ni maji ya moto kuna mda hayo maji yatapoa tu
Namuomba Mungu aniepushe na Zinaa
mnakuwaga na magonjwa hamjijui.😂😂😂 Tena atutoe
Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
Uti iliyokomaa ndio inaathiri figo. Ukianza kuhisi maumivu ya nyonga na mgongo ikiambatana na homa UTI Inakuwa imeshavamia figo. Kwa mwanamke mara nyingi UTI ikianza unahisi mkojo kuchomachoma wakati unakojoa. Ukiwahi kwa maji mengi unaweza ku clear kabla haijaenda mbali. Pia ukipendelea kunywa maji mengi UTI unakuwa hupati mara kwa maramkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno na kwa ndani ya mgongo.
Kwema sana rafiki!Ooh!!sawa rafiki
Kwema lakini
Sawa, ngoja tukomae boss wanguWe chakata tu boss. Kila mtu atumie masaa yake ya kuwa hai duniani kwa namna anavyoona ni sahihi kwake. Kwangu mm katika haya masaa niliyopewa nimechagua njia ya kuwa na mke na kulea watoto tukiwa pamoja.
Pambania kombe kifo kinakusubiri.Sawa, ngoja tukomae boss wangu
thanksUti iliyokomaa ndio inaathiri figo. Ukianza kuhisi maumivu ya nyonga na mgongo ikiambatana na homa UTI Inakuwa imeshavamia figo. Kwa mwanamke mara nyingi UTI ikianza unahisi mkojo kuchomachoma wakati unakojoa. Ukiwahi kwa maji mengi unaweza ku clear kabla haijaenda mbali. Pia ukipendelea kunywa maji mengi UTI unakuwa hupati mara kwa mara
Hapana mkuuMkuu ulipita rough road nini?😂
sio gono mkuu maana navyo jua gono ukipata harufu yake lazima ukimbiwe mazeee babaAtokee mtaalam awatofautishie gono na u.t.i kwa uelewa wng ule usaha unaochafua boxer ule sio uti ni gono.
Tusitishane mkuu. Wote tutakufaPambania kombe kifo kinakusubiri.
Wewe ni ME au KEmkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno na kwa ndani ya mgongo.
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Kwani ni suala la kutishana au ni suala la uhalisia? KIFO NDIO KINAKUJA, NI VILE HUNA SAA TU YA KUKUONYESHA KIMEKARIBIA KWA UKARIBU GANI LAKINI KINASOGEA KILA SIKU. Ndo maana nakwambia chakata mbususu maana ndo maamuzi yanayokupa raha, kifo kinakuja hutaweza zichakata tena.Tusitishane mkuu. Wote tutakufa