Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Aisee watu wamekimbia uzi hawapo leo. Sijui ndo wanaangalia mechi. Katika nyuzi bora nilizosoma mwaka huu na huu umeingia kwenye list. Ninachosikitika ndugu mwandishi je tumekusikia???

Au ndo yameingia huku na kutokea kule. Wazedzed hatutaki kuelewa aisee. Right is right even if no one does it.

Kauli yangu mbiu. Wanadamu tunachoka haraka sana na kusahau kwa wepesi mno.
Kuelewa ni pale mtu anapofanyia kazi alicho jifunza kuweka katika matendo. Mtu anaepata maarifa hata kama ni vitabu mia ila hakuna anachotenda huyo anakuwa hajaelewa kitu, ni sawa na ambae hajasoma hapa. Ila atakkaefanyia kazi kwa vitendo japo jambo moja tulilozungumza hapa atafika mbali katika malengo yake. Naamini japo mtu mmoja hapa ataelewa na ataokoa nafsi yake
 
Unajuaje Kama hauna,, Tena aina ya watu uloweka avatar ndo wanaongoza kwa gonno hao

We mwenyewe unakuta unaugulia ila hujui

Kingne unakuta we ni mbovu hakuna wa kukusumbua akuletee gono

Cocumber friend
Hamna huyu sista kuna pic alitupia sehemu kwa nilivyomuona hana hayo madude niamini mimi 😄 mtt light skin muarabu mixer msomali 😋
 
Vijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwa
kama ndo hvi basi diamond amgekua asgapotea zaman sana mana katoka na wema, mobeto,DC, tanasha, zari na wengne hatuwajui lakn mbona anadunda kama kawa? ONYO: Mimi sitetei uzinzi mana hata hapa nlipo sina hata demu.
 
Unamanisha uwe na baba wa kiroho?
Yes, mtu mwenye malezi atakae jua unaendeleaje, aweza kuwa hata mentor au coach. Awe mtu mkamilifu na mwadilifu. Usijiweke chi ya mtu asiekuwa na mda na wewe. Kama ni mfunyabiashara ni vema umpate wa eneo lako la biashara yaani tafuta anaendana na unachofanya ( your life mission)
NSema mwanawane. Tumepewa ushauri hapo murwa kabisa. Uzinzi sio dili tuoe jamani. Tatizo napo kuoa ndio uwe una maisha basi tabu tupu. Huna hela hustaili kupata mke ndio dunia ya sasa. Ukienda chaputa nakonshida vile vile. Ulimwengu wa shida tupu huu
Tafuta wa level yako, nenda vijijini oa binti mbichi ambae hajajua nguvu ya pesa ataishi kwenye level yako. Hawa ma slay queen achia wenye pesa
 
Pamoja na umalaya wote nilofanyaga sijawahi kutana na hii. Asante rough rider.....hata hapa ninazo pakti mbili za emergency. Japo sintosahau siku kunaboya kaniuzia ndom moja elfu tatu, zikiwa 3 kwenye pakti elfu 9 tena zile dume cndm na ilikua saa saba usiku pale nje ya Sea cliff hotel kuna boya anakakibanda pale anauzaga pombe kali za kupima na ndom. Alijua mida ile lazma ntanunua na kweli nikanunua na sikua na majuto asubuhi sababu nilijali usalama wangu
 
kama ndo hvi basi diamond amgekua asgapotea zaman sana mana katoka na wema, mobeto,DC, tanasha, zari na wengne hatuwajui lakn mbona anadunda kama kawa?
Maisha ni mwendelezo, usijione mjanja kwa kudhani kununi za ulimwengu huwa zinafeli, nakuhakikishia mtu asipoacha zinaa mwisho wake huwa mfupi na mbaya, mcheki RKelly, ruge nk. Anzisha familia tulia, hutaki fanya unavyotaka, maisha ni yako. Mungu ni wa rehema yeyote aachae njia mbaya na kugeuka Mungu humpokea. Na mtu huvuna anachopanda so kama mavuno ni hayafurahishi panda mbegu tofauti
 
Nikionaga ma slay queen,wavaa vikuku,wanaochomekea madela kwny chupi popote pale najua hiyo ni gono/kaswende/UTI sugu imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.

Tulinde afya zetu kwa hali yoyote
Uwezi tumia Kondom kijana wa sasa

#Intelligent_Agent
Nikuambie kitu uti inatokana na mwanamke mchafu.
Au uti inatokana na wanaume walioenda kwa mwanamke mchafu akapata kwake akaja kumpa mke wake au demu wake.

Gonorhea mtu anapata hata sio kwa malaya hapana nikwa hawa wanawake wasiotulia wenye wakina juma wengi .

Malaya wengi wanajitunza kweli kweli .
Ili wasiadhirike na hayo magonjwa kwa maana hiyo kitu yao ndio mtaji.

Unaweza ukawa wewe ni slay queen unavaa vikuku ila unajiheshimu .
Usimwangalie mtu kwa sura na mavazi ukamvaa eti ni malaya hujui tabia yake sio wote wameoza hao samaki au ndio huoi hivyoo.

Kwa taarifa fupi asilimia kubwa ya maambukizi ya hayo magonjwa ni kwa wadada waofisini .

Hao ni hawajatulia lazima ampe bossy wake , manager , aliyemweka hapo kazini na bado na wachumba zake na bado hajakutana na baadhi ya wateja aliowapenda unadhani nini kinaendelea hapo
 
Unajuaje Kama hauna,, Tena aina ya watu uloweka avatar ndo wanaongoza kwa gonno hao

We mwenyewe unakuta unaugulia ila hujui

Kingne unakuta we ni mbovu hakuna wa kukusumbua akuletee gono

Cocumber friend
🤣🤣Dah umejua kunifurahisha
 
Nikuambie kitu uti inatokana na mwanamke mchafu.
Au uti inatokana na wanaume walioenda kwa mwanamke mchafu akapata kwake akaja kumpa mke wake au demu wake.

Gonorhea mtu anapata hata sio kwa malaya hapana nikwa hawa wanawake wasiotulia wenye wakina juma wengi .

Malaya wengi wanajitunza kweli kweli .
Ili wasiadhirike na hayo magonjwa kwa maana hiyo kitu yao ndio mtaji.

Unaweza ukawa wewe ni slay queen unavaa vikuku ila unajiheshimu .
Usimwangalie mtu kwa sura na mavazi ukamvaa eti ni malaya hujui tabia yake sio wote wameoza hao samaki au ndio huoi hivyoo.

Kwa taarifa fupi asilimia kubwa ya maambukizi ya hayo magonjwa ni kwa wadada waofisini .

Hao ni hawajatulia lazima ampe bossy wake , manager , aliyemweka hapo kazini na bado na wachumba zake na bado hajakutana na baadhi ya wateja aliowapenda unadhani nini kinaendelea hapo
Mbususu ya malaya ndio the safest mbususu ya kugegeda.
Hizi sasa za akina angela rose sophia wale degree holders wa maofisini shida tupu
 
Kama huna unachofanya na maisha yako hata ukipotelea kwenye zinaa poa tu hamna hasara, ila kama maisha yako unahitaji uwe mtu flani kwenye jamii, uheshimike kuanzia level ya familia, ukoo, mpka taifa basi kuwa makini na yupi ulale nae, ukiweza usilale na ke zaidi ya mmoja kwa ustawi wa mwili na roho yako
Jay, wengi hufikiri kama ulivyoandika hapa. Sema, unakuta mtu ameamua kuoa atulie, ajenge familia. Unakuta aliyemuoa/ olewa naye anachepuka au alinficha alishakua na familia na watoto wawili na wanawasiliana na mzazi mwenzake, ana ex ambaye imeshindikana kuacha. Mwishowe anataka kulipiza, malipizi yanakua mengi mwishowe anakuwa ktk hilo kundi ulilolizungumza.

Nini cha kufanya kiwe suluhisho kwa vijana bado ni tatizo. Kwa kuwa wengi hatujaamua kuishi maisha ya imani: ambayo ndiyo jibu pekee ktk mazingira haya.
 
Uzinzi ni gharama kubwa jay, jiulize mtu mzinzi halafu mlevi, alewe yeye, amleweshe na huyo mwanamke, kisha akalipie chumba, baada ya hapo ampatie pesa. Ni mlolongo mrefu.

Hata asiye mlevi, ukiwa siyo mlevi inamaana wewe huokoti wa bar, matokeo yake utakuwa nao wa permanent. Ukiwa na vibinti viwili tu, vitataka uhudumie, vocha, vitasema havijala, vitataka kwenda kusuka, na vingine vitataka ununue gesi na ulipie kodi ya chumba..

In the long run, utajikuta muda na pesa ambazo ungewekeza kwa ajili ya future yako na familia yako umezitumia kwa ajili ya kumridhisha 'Zakaria'.
Mwisho unaamua kutulia. Mke anakupiga matukio. Unaenda kuomba ushauri wale uliowaona wanapoteza pesa kwa kutokutulia na mtu mmoja. Haya mambo ni complex.
 
Jay, wengi hufikiri kama ulivyoandika hapa. Sema, unakuta mtu ameamua kuoa atulie, ajenge familia. Unakuta aliyemuoa/ olewa naye anachepuka au alinficha alishajua na familia na watoto wawili na wanawasiliana na mzazi mwenzake, ana ex ambaye imeshindikana kuacha. Mwishowe anataka kulipiza, malipizi yanakua mengi mwishowe anakuwa ktk hilo kundi ulilolizungumza.

Nini cha kufanya kiwe suluhisho kwa vijana bado ni tatizo. Kwa kuwa wengi hatujaamua kuishi maisha ya imani: ambayo ndiyo jibu pekee ktk mazingira haya.
Wewe control mwili wako tulia na mmoja, yeye akiyakoroga yatamrudia yeye, Mungu hatateketeza mwema na mwovu pamoja. Usilipe kisasi ukikosewa maana tunda lililo oza litadondoka lenyewe kutoka juu ya mti
 
Back
Top Bottom