Uzinzi ni gharama kubwa jay, jiulize mtu mzinzi halafu mlevi, alewe yeye, amleweshe na huyo mwanamke, kisha akalipie chumba, baada ya hapo ampatie pesa. Ni mlolongo mrefu.
Hata asiye mlevi, ukiwa siyo mlevi inamaana wewe huokoti wa bar, matokeo yake utakuwa nao wa permanent. Ukiwa na vibinti viwili tu, vitataka uhudumie, vocha, vitasema havijala, vitataka kwenda kusuka, na vingine vitataka ununue gesi na ulipie kodi ya chumba..
In the long run, utajikuta muda na pesa ambazo ungewekeza kwa ajili ya future yako na familia yako umezitumia kwa ajili ya kumridhisha 'Zakaria'.