Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Wadada wanakagua tu comment za wanaume,kimya kimya

wawajue wale chovya chovya ni akina nani, mimi hata simpingi

mtoa mada,naunga hoja mkono maana hawa shenzi wamenifanya

nikachomwe sindano ya TAKO tena ni 25k sindano 1 imeniuma hiyooooo

yani naiwazie ile hela halafu tako langu kanichungulia yule mama aseee

mimi nimechunguliwa mimi kisa sindano kwa uchafu wa jitu? aiseeee inauma

Mkuu FUNGUA thread ingine koleza wino ili waelewe mi nakuja ku comment
Pole sana mkuu. Sisi wanawake siku hizi hatujatulia kabisa. Mtu haridhiki na mmoja. Tamaa za maisha mazuri ilihali huna uwezo.
 
Mwanamke mwenye UTI inaweza msumbua kidogo ila Mwenye GONOO atakuwa analigawaaa tuu na yeye hata tone la maumivu hanaa na hajui kama ana gonoo labda atokee mtu wa kumchana ukweli aende hospital.
 
Napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumu wa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.[emoji106][emoji817]




Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ulipata muda wa kumtongoza na akakulia pesa na kukupa gono lakini ushauri wa doctor unasema utamtoa wapi
 
Nikionaga ma slay queen, wavaa vikuku, wanaochomekea madela kwenye chupi popote pale najua hiyo ni gono/kaswende/UTI sugu imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.

Tulinde afya zetu kwa hali yoyote, huwezi tumia kondom kijana wa sasa.

#Intelligent_Agent
 
Afya ni muhimu ila kuna kitu cha mhimu zaidi, ngono huua nafsi, yaani ukiwa mzinzi unakua kubwa jinga, nafsi inakufa na akili haikui tena. Utakuta mzee mzinzi anaongea kama teenager, uzinzi ni sumu mbaya sana.

Nafsi ikishakufa kuua mwili ni sekunde tu, hata chupa moja ya pombe inatosha kumalizia kuua mwili. Sema vijana hatufundishwi hivi vitu tunajiendea tu mwisho tunapotea kwenye ramani
 
Afya ni muhimu ila kuna kitu cha mhimu zaidi, ngono huua nafsi, yaani ukiwa mzinzi unakua kubwa jinga, nafsi inakufa na akili haikui tena. Utakuta mzee mzinzi anaongea kama teenager, uzinzi ni sumu mbaya sana. Nafsi ikishakufa kuua mwili ni sekunde tu, hata chupa moja ya pombe inatosha kumalizia kuua mwili. Sema vijana hatufundishwi hivi vitu tunajiendea tu mwisho tunapotea kwenye ramani
Wewe umeongea elimu ya ndani sana.
 
Wewe umeongea elimu ya ndani sana.
Vijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwa
 
Back
Top Bottom