National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Wachache sana hutumia kinga kwa usahihi.Tumia protection au acha kufanya sex hovyo hovyo. Tafuta mmoja pimeni then tulia na huyo mmoja.
Muwekane wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache sana hutumia kinga kwa usahihi.Tumia protection au acha kufanya sex hovyo hovyo. Tafuta mmoja pimeni then tulia na huyo mmoja.
Muwekane wazi.
Naomba upokee application yanguUsijumuishe wote
Mbaya zaidi kala konaMimi siku mbili nikaanza ona bolo halikauki, week usaha sijui ule hatari kabisa...unavuja boxer jioni haifai
Shenzi kabisa yule
Of course ndo maana hukuti UTI kwa mashogaKwa hiyo kama ni TIGO tu pekee hakuna UTI, si ndio?
Watu wanatakiwa waanze kufikiria.Wachache sana hutumia kinga kwa usahihi.
Utamu ni ndoani kwa watu wawili ambao wameamua kuwa life partner... Ila mtindo wa maisha katika nyakati hizi wengi wanaumia na mtandao ni mpana sana wa magonjwa ya ngono.. Hizi condom sio salama kwa usalama wa afya. Swala la watu wawe na akili timamu tu, ya kuhoji mala mbili mbili kabla ya kutendaWatu wanatakiwa waanze kufikiria.
Utamu wa madakika au afya yako , kipi cha muhimu. ?
Unaweza kupata utamu bila kudhuru afya yako.
No. C kurudi Ni mashangazi,hayo uzuri wake ukiweka Nalo appointment linakuja halija vaa chupi kabisa na limenyoa vuzi kabisa mkuu.Hayana complications.Hahahaa hadi namba mshawapa
Sipat picha waanandoa ambao kuloeka ni lazima.Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Si lazima kuolewa au kuoa.Utamu ni ndoani kwa watu wawili ambao wameamua kuwa life partner... Ila mtindo wa maisha katika nyakati hizi wengi wanaumia na mtandao ni mpana sana wa magonjwa ya ngono.. Hizi condom sio salama kwa usalama wa afya. Swala la watu wawe na akili timamu tu, ya kuhoji mala mbili mbili kabla ya kutenda
Chunguza sana dispensary.. katika dispensary 100.. ni 5 tu ndio hutoa majib sahih kwenye vipimo.. weng ni chupli chupli tu wanadanganya majib. Wanakukadiria tu unapowapa diagnosis..Miaka km mitano hiv nyuma tangu hapo hta niwe na homa vip sijawahi pima nikakutwa na UTI
Mara ya mwisho juz tu nilikuwa naumwasana tumbo nikhis huenda yenyew lkn hamna
IpiNaomba upokee application yangu
Kwaiyo kaka nitakuwa na UTIChunguza sana dispensary.. katika dispensary 100.. ni 5 tu ndio hutoa majib sahih kwenye vipimo.. weng ni chupli chupli tu wanadanganya majib. Wanakukadiria tu unapowapa diagnosis..
Ukitaka majib yakwel nenda hospital kubwa
Kuna uchunguzi ulifanywa na gazeti la mwananchi,walichota maji bombani(wakadanganya Ni mkojo) wakapeleka kwny hizi dispensary kwa ajili ya kupima UTI, dispensary 4 walikopeleka hio sample waliambiwa mgonjwa una UTI Kali anza matibabu Mara 1.Kwny hosp. Kubwa ya serikali ndio walisema hamna UTI.Chunguza sana dispensary.. katika dispensary 100.. ni 5 tu ndio hutoa majib sahih kwenye vipimo.. weng ni chupli chupli tu wanadanganya majib. Wanakukadiria tu unapowapa diagnosis..
Ukitaka majib yakwel nenda hospital kubwa
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Wale dispensary wanataka hela hata kama huna ugonjwa watakubambikia ili wakipige hela hilo ndo tatizo la private hospital wao wanaangalia hela kuliko afya ya mtu.Kuna uchunguzi ulifanywa na gazeti la mwananchi,walichota maji bombani(wakadanganya Ni mkojo) wakapeleka kwny hizi dispensary kwa ajili ya kupima UTI, dispensary 4 walikopeleka hio sample waliambiwa mgonjwa una UTI Kali anza matibabu Mara 1.Kwny hosp. Kubwa ya serikali ndio walisema hamna UTI.
Prof Pale Muhimbili alipohojiwa khs uwezekano wa Maji kupimwa na kukutwa na vijidudu vya UTI,akasema hio Ni Impossible.