Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Vijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwa
Mzeya mbona diamond anadunda tuu au huwezi ukagonoka na kuiba nyota nzuri yaani ni kuiondoka na mikosi tuu?

Mnon kuna mademu wengine tukigingannda i ya wiki mambo ya afu guka? Hii tunaelezaje
 
Labda uwe mchawi au ujitoe mazima kwa shetani. Hakunaga mzinzi mwenye heshima hata kama uzinzi wake anafanyia mtwara siku akienda Arusha bado jamii haitamheshimu maana kiroho ni mwepesi anaonekana mzinzi tu mtu hovyo. Na hata ukijitoa mazima kwa shetani ukamtumikia bado uzinzi utaua nafsi na mara nyingi wazinifu huondoka vijana tu. Hii dunia imesetiwa. Kila kilichozuiwa kina madhara yake ambayo huwezi yakwepa hata ukifanya kwa kujificha sirini utaumbuka tu. Huwezi panda uovu ukavuna uzima... Utavuna uovu huo huo tena na kuzidishiwa
 
Hii ni kweli niliwahi msikia daktari mmoja akizungumzia hili jambo.

Wanawake siku hizi hawajui kujiweka safi.
 
Kuna elimu pana ambayo hatuna na tunakuja kuipata baadae Sana tushajichanganya na midemu yenye kila Aina ya miroho 😣
Na mara nyingi unagundua uzinzi umekupotezea mda wa maana ambao ungekuwa mbali kweli kweli kwenye mission yako. Maisha yakimshinda mtu akiwa kijana hawezi kutoboa akiwa mzee na starehe za ngono huharibu nguvu ya maendeleo
 
Mzeya mbona diamond anadunda tuu au huwezi ukagonoka na kuiba nyota nzuri yaani ni kuiondoka na mikosi tuu?

Mnon kuna mademu wengine tukigingannda i ya wiki mambo ya afu guka? Hii tunaelezaje
Hata RKelly alidunda zaidi ya huyo, ila maisha ni mwendelezo so 'itaendelea' kuwa makini na kesho unayoitengeneza leo.
 
Vijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwa
Hii ndio pointi. Magono sijui kaswende yanatibika tu, ishu kubwa unapoteza energy, muda na pesa kudeal na kitu kisicho kuwa na faida.
 
Na mara nyingi unagundua uzinzi umekupotezea mda wa maana ambao ungekuwa mbali kweli kweli kwenye mission yako. Maisha yakimshinda mtu akiwa kijana hawezi kutoboa akiwa mzee na starehe za ngono huharibu nguvu ya maendeleo
Kabisa mkuu.unashaurije ww.
 
Kabisa mkuu.unashaurije ww.
Kama huna unachofanya na maisha yako hata ukipotelea kwenye zinaa poa tu hamna hasara, ila kama maisha yako unahitaji uwe mtu flani kwenye jamii, uheshimike kuanzia level ya familia, ukoo, mpka taifa basi kuwa makini na yupi ulale nae, ukiweza usilale na ke zaidi ya mmoja kwa ustawi wa mwili na roho yako
 
Noted
 
Na mara nyingi unagundua uzinzi umekupotezea mda wa maana ambao ungekuwa mbali kweli kweli kwenye mission yako. Maisha yakimshinda mtu akiwa kijana hawezi kutoboa akiwa mzee na starehe za ngono huharibu nguvu ya maendeleo
Kibaya tunapuuza masuala ya dini hasa yakigusa eneo pendwa tofauti na matamanio yetu.
Pia baadhi ya viongozi wa dini hawafahamu vizuri Mana wako pale aidha kwa kuteuliwa na watu au yeye kupenda so Kuna vingi kuhusu Hy hawafahamu tunakuja kukuta tumebaki na elimu yetu hii ambayo nayo inayumba TU.
 
Back
Top Bottom