Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Kuelewa ni pale mtu anapofanyia kazi alicho jifunza kuweka katika matendo. Mtu anaepata maarifa hata kama ni vitabu mia ila hakuna anachotenda huyo anakuwa hajaelewa kitu, ni sawa na ambae hajasoma hapa. Ila atakkaefanyia kazi kwa vitendo japo jambo moja tulilozungumza hapa atafika mbali katika malengo yake. Naamini japo mtu mmoja hapa ataelewa na ataokoa nafsi yake
 
Unajuaje Kama hauna,, Tena aina ya watu uloweka avatar ndo wanaongoza kwa gonno hao

We mwenyewe unakuta unaugulia ila hujui

Kingne unakuta we ni mbovu hakuna wa kukusumbua akuletee gono

Cocumber friend
Hamna huyu sista kuna pic alitupia sehemu kwa nilivyomuona hana hayo madude niamini mimi 😄 mtt light skin muarabu mixer msomali 😋
 
kama ndo hvi basi diamond amgekua asgapotea zaman sana mana katoka na wema, mobeto,DC, tanasha, zari na wengne hatuwajui lakn mbona anadunda kama kawa? ONYO: Mimi sitetei uzinzi mana hata hapa nlipo sina hata demu.
 
Unamanisha uwe na baba wa kiroho?
Yes, mtu mwenye malezi atakae jua unaendeleaje, aweza kuwa hata mentor au coach. Awe mtu mkamilifu na mwadilifu. Usijiweke chi ya mtu asiekuwa na mda na wewe. Kama ni mfunyabiashara ni vema umpate wa eneo lako la biashara yaani tafuta anaendana na unachofanya ( your life mission)
NSema mwanawane. Tumepewa ushauri hapo murwa kabisa. Uzinzi sio dili tuoe jamani. Tatizo napo kuoa ndio uwe una maisha basi tabu tupu. Huna hela hustaili kupata mke ndio dunia ya sasa. Ukienda chaputa nakonshida vile vile. Ulimwengu wa shida tupu huu
Tafuta wa level yako, nenda vijijini oa binti mbichi ambae hajajua nguvu ya pesa ataishi kwenye level yako. Hawa ma slay queen achia wenye pesa
 
Pamoja na umalaya wote nilofanyaga sijawahi kutana na hii. Asante rough rider.....hata hapa ninazo pakti mbili za emergency. Japo sintosahau siku kunaboya kaniuzia ndom moja elfu tatu, zikiwa 3 kwenye pakti elfu 9 tena zile dume cndm na ilikua saa saba usiku pale nje ya Sea cliff hotel kuna boya anakakibanda pale anauzaga pombe kali za kupima na ndom. Alijua mida ile lazma ntanunua na kweli nikanunua na sikua na majuto asubuhi sababu nilijali usalama wangu
 
kama ndo hvi basi diamond amgekua asgapotea zaman sana mana katoka na wema, mobeto,DC, tanasha, zari na wengne hatuwajui lakn mbona anadunda kama kawa?
Maisha ni mwendelezo, usijione mjanja kwa kudhani kununi za ulimwengu huwa zinafeli, nakuhakikishia mtu asipoacha zinaa mwisho wake huwa mfupi na mbaya, mcheki RKelly, ruge nk. Anzisha familia tulia, hutaki fanya unavyotaka, maisha ni yako. Mungu ni wa rehema yeyote aachae njia mbaya na kugeuka Mungu humpokea. Na mtu huvuna anachopanda so kama mavuno ni hayafurahishi panda mbegu tofauti
 
Nikuambie kitu uti inatokana na mwanamke mchafu.
Au uti inatokana na wanaume walioenda kwa mwanamke mchafu akapata kwake akaja kumpa mke wake au demu wake.

Gonorhea mtu anapata hata sio kwa malaya hapana nikwa hawa wanawake wasiotulia wenye wakina juma wengi .

Malaya wengi wanajitunza kweli kweli .
Ili wasiadhirike na hayo magonjwa kwa maana hiyo kitu yao ndio mtaji.

Unaweza ukawa wewe ni slay queen unavaa vikuku ila unajiheshimu .
Usimwangalie mtu kwa sura na mavazi ukamvaa eti ni malaya hujui tabia yake sio wote wameoza hao samaki au ndio huoi hivyoo.

Kwa taarifa fupi asilimia kubwa ya maambukizi ya hayo magonjwa ni kwa wadada waofisini .

Hao ni hawajatulia lazima ampe bossy wake , manager , aliyemweka hapo kazini na bado na wachumba zake na bado hajakutana na baadhi ya wateja aliowapenda unadhani nini kinaendelea hapo
 
Unajuaje Kama hauna,, Tena aina ya watu uloweka avatar ndo wanaongoza kwa gonno hao

We mwenyewe unakuta unaugulia ila hujui

Kingne unakuta we ni mbovu hakuna wa kukusumbua akuletee gono

Cocumber friend
🤣🤣Dah umejua kunifurahisha
 
Mbususu ya malaya ndio the safest mbususu ya kugegeda.
Hizi sasa za akina angela rose sophia wale degree holders wa maofisini shida tupu
 
Jay, wengi hufikiri kama ulivyoandika hapa. Sema, unakuta mtu ameamua kuoa atulie, ajenge familia. Unakuta aliyemuoa/ olewa naye anachepuka au alinficha alishakua na familia na watoto wawili na wanawasiliana na mzazi mwenzake, ana ex ambaye imeshindikana kuacha. Mwishowe anataka kulipiza, malipizi yanakua mengi mwishowe anakuwa ktk hilo kundi ulilolizungumza.

Nini cha kufanya kiwe suluhisho kwa vijana bado ni tatizo. Kwa kuwa wengi hatujaamua kuishi maisha ya imani: ambayo ndiyo jibu pekee ktk mazingira haya.
 
Mwisho unaamua kutulia. Mke anakupiga matukio. Unaenda kuomba ushauri wale uliowaona wanapoteza pesa kwa kutokutulia na mtu mmoja. Haya mambo ni complex.
 
Wewe control mwili wako tulia na mmoja, yeye akiyakoroga yatamrudia yeye, Mungu hatateketeza mwema na mwovu pamoja. Usilipe kisasi ukikosewa maana tunda lililo oza litadondoka lenyewe kutoka juu ya mti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…