Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
Ubishi Tu na kushupaza misuli ya shingo ilihali ukweli unaujua.Baada ya maisha kuwapiga naona mnatishana tu mnasingizia sijui kuwa na Wanawake wengi mikosi magonjwa bra bra tu, hakuna cha mikosi wala laana mbususu inaliwa kama kawaida na kazi tunachapa kama kawaida na tunafanikiwa mara mia zaidi...hakuna peponi wala motoni binadamu unapokufa na habari yako inakuwa ndio imeisha .
NB:kikubwa Kinga ni muhimu ila msitishike na mambo ya laana na mikosi
Amen!Wewe control mwili wako tulia na mmoja, yeye akiyakoroga yatamrudia yeye, Mungu hatateketeza mwema na mwovu pamoja. Usilipe kisasi ukikosewa maana tunda lililo oza litadondoka lenyewe kutoka juu ya mti
Jamaa yupo sahihi unampinga bure ukizima umezima namaanisha ukifa umekufa suala hilo hua halinaga mjadala when you are you are gone tukishapiga dua zetu tunakuzika kisha tunakusahau yaan kaburi lako linaweza likawa hata halifagiliwi na mtu, mengine tunaishia kutishana tu hapa hapa duniani hakuna aliefika uko akarudi kuja kutupa report nini kilichopo uko,Ubishi Tu na kushupaza misuli ya shingo ilihali ukweli unaujua.
Mwamba utakuwa umekutana na kitu cha Kirando au KABWE wewe.
Endelea kujipa "faraja hewa". Huamini kwa kusikia subiri utaamini kwa kuona!Baada ya maisha kuwapiga naona mnatishana tu mnasingizia sijui kuwa na Wanawake wengi mikosi magonjwa bra bra tu, hakuna cha mikosi wala laana mbususu inaliwa kama kawaida na kazi tunachapa kama kawaida na tunafanikiwa mara mia zaidi...hakuna peponi wala motoni binadamu unapokufa na habari yako inakuwa ndio imeisha .
NB:kikubwa Kinga ni muhimu ila msitishike na mambo ya laana na mikosi
Kutofika Mwanza haimaanishi mtu hajawahi kupaona au hapajui.Jamaa yupo sahihi unampinga bure ukizima umezima namaanisha ukifa umekufa suala hilo hua halinaga mjadala when you are you are gone tukishapiga dua zetu tunakuzika kisha tunakusahau yaan kaburi lako linaweza likawa hata halifagiliwi na mtu, mengine tunaishia kutishana tu hapa hapa duniani hakuna aliefika uko akarudi kuja kutupa report nini kilichopo uko,
Amini kwamba hakuna anaejua alikotoka na hakuna anaejua anakoenda tupo hapa duniani tunanunua muda tu muda wako ukiisha lazima uende, ndio maana ukiumwa unajipambania upone usife mapema unajipambania unanunua muda wa kuishi duniani kila inapoitwa leo, ukikosa pesa za matibabu au ugonjwa ukigoma kutibika ndio baasi you're gone for real na ukishaenda unabadirishwa na jina hautaitwa tena James au Peter jina lako litakua kama sio hayati basi utaitwa marehemu,
Imani ikizidi sana nayo ni mbaya inakua ni Imani potofu sometimes inabidi tujifunze ku-balance haya masuala tusitishane kupitiliza, nobody knows what's coming next in another chapter, wote tumepigwa upofu kwa hio tusijitie ujuaji sana kwenye baadhi ya mambo tuishi kwa kiasi maana muda hauna mwenyewe wote tutaondoka ila huu muda utaendelea kuwepo,
Sisi kazi yetu ni moja tu hapa duniani kununua muda ili tuishi ndio maana tunafanya kazi ili tule usipofanya kazi kula yako itakua ya taaabu na kula yako ikiwa ya taaabu maradhi yatabisha hodi na maradhi yakibisha hodi muda wako wa kuwepo hapa duniani ndivyo unavyozidi kupungua
Haya mengine ya kujamiiana nà wanawake kwa wanaume, sio jambo baya na wala halina tatizo lolote zaidi zaidi baadhi ya watu wamekua na Imani zao binafsi ni za kwao wanaamini katika kile wanachokiamini kwamba kufanya Jambo fulani basi ni laana au kufuru kwenye ulimwengu wa nafsi na roho ila all in all yote yapo ndani ya muda, muda ndio unao-ongea haijalishi unafanya nini na wapi ila ukiuchezea muda vibaya utaku-cost
Mfano:
Wewe hujawahi kufika Mwanza alafu unaanza kunieleza kuhusu Mwanza, nitakuelewaje?
Yaan wewe hujawahi kufika Dar alafu unajifanya unaijua Buguruni kuliko wanavyoijua watu wa Dar?
Namaanisha mtu unapozungumzia kuhusu masuala ya rohoni au masuala ya nafsi, nikikuhoji je wewe umewahi kufika uko zilipo hizo nafsi na roho kwenye huo ulimwengu umewahi kufika wewe?
Je! wewe umewahi kufika uko hadi unakua msemaji wa ulimwengu wa uko hadi unafika hatua ya unazisemea nafsi na roho?
Utanijibu nini?
Km hujaelewa hapo basi huwezi kuelewa milele
Muuuda tumia Muda wako vizuri ukienda umeenda asikuongopee mtu sijui utaona nini sijui itakuaje ukienda utakuaje hakunaga hizo habari
Umekuja ukiwa mikono mitupu na siku ukilala utalala mikono mitupu acha kuwatisha watu
AbsoluteVijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwa
😂😂Pamoja na umalaya wote nilofanyaga sijawahi kutana na hii. Asante rough rider.....hata hapa ninazo pakti mbili za emergency. Japo sintosahau siku kunaboya kaniuzia ndom moja elfu tatu, zikiwa 3 kwenye pakti elfu 9 tena zile dume cndm na ilikua saa saba usiku pale nje ya Sea cliff hotel kuna boya anakakibanda pale anauzaga pombe kali za kupima na ndom. Alijua mida ile lazma ntanunua na kweli nikanunua na sikua na majuto asubuhi sababu nilijali usalama wangu
Nasoma comments nashangaa. Kuna muda nahisi watu wa huku wana ulimwengu wao wa peke yao kwa vitu wanavyovishuhudia kukutana navyo kama mtoa mada [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hao wanawake wa hivyo mnawapata wapi
Nijipe faraja hewa ili iweje ?zaidi ya nyinyi kujiongopea laana na mikosi narudia tena kutembea na wanawake tofauti tofauti hakuna mikosi wala laana.Endelea kujipa "faraja hewa". Huamini kwa kusikia subiri utaamini kwa kuona!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Tunza shahawa zako kwa kwa mbinu zote uwezavyo, ni ama uzitunze ndani ya ke mmoja au usizitoe mwilini mwako maana hizo ndo zimebeba ukuu wako. Ukizitoa hovyo hovyo unajimaliza kiroho na kisha kimwiliKwa hio Mkuu unawashauri nini hawa wanaopiga PUNYETO maana naona umeegemea upande mmoja tu vipi kwa hawa wanaopiga 🤳 nini kitawatokea hapo baadae?
Je! Waendelee au waache?
Nawasilisha kwako
Mr Future Predictor/Guru
Motivational speaker
Mchambuzi
jay-millions
Tatizo unaona hapa ulipo sasa, huoni mbele ila angalia miaka 10 qu 20 mbele utapoteza kila kitu. Mfano yule boss wa fiesta alikuwa tamasha moja anaingiza zaidi ya 200m na kafanya kazi toka miaka ya 90's ila alipoumwa akawa hana kitu ikabidi raia wachangishane kumtibia, hapo ndo ujue mwisho wa mzinzi sio mzuri so usitazame ulipo now itazame kesho unayojiandalia kwa kulala na kila mwenye tunduNijipe faraja hewa ili iweje ?zaidi ya nyinyi kujiongopea laana na mikosi narudia tena kutembea na wanawake tofauti tofauti hakuna mikosi wala laana.
Kama ni laana na mikosi ningekuwa na nayo mimi' mbona biashara zinaenda vizuri mafanikio zaidi? hizo laana ziko wapi??
Mifano ipo mingi tu, wapo watu wengi waliotulia hawana mambo mengi lakini matatizo yamewazidi mpaka wanatamani kujinyonga,wapo waliotulia lakini wanakuja kuletewa magonjwa kizembe na wenza wao na kila siku tunasikia hao wachungaji wenu wakiendelea kutafuna wake zenu.
Kama unaendekeza wanawake na haufanyi kazi lazima utafilisika tu hakuna laana wala mikosi hapo na kuhusu magonjwa wanandoa ndio wanaongoza kuleteana magonjwa ya kuambukiza
Sisi tunaongelea kuishi wewe unaongelea kifo na baada ya kufa? Mateso ya uzinifu unayapata hapa hapa kabla hujafa na huwa hayachukui miaka mingi, ni mbegu ambayo ukiipanda unavuna haraka mno. Nimeifananisha na cocaine madhara yake yapo fasta unakua teja within weeks, hayo ya mbinguni waachie wahubiriJamaa yupo sahihi unampinga bure ukizima umezima namaanisha ukifa umekufa suala hilo hua halinaga mjadala when you are you are gone tukishapiga dua zetu tunakuzika kisha tunakusahau yaan kaburi lako linaweza likawa hata halifagiliwi na mtu, mengine tunaishia kutishana tu hapa hapa duniani hakuna aliefika uko akarudi kuja kutupa report nini kilichopo uko,
Amini kwamba hakuna anaejua alikotoka na hakuna anaejua anakoenda tupo hapa duniani tunanunua muda tu muda wako ukiisha lazima uende, ndio maana ukiumwa unajipambania upone usife mapema unajipambania unanunua muda wa kuishi duniani kila inapoitwa leo, ukikosa pesa za matibabu au ugonjwa ukigoma kutibika ndio baasi you're gone for real na ukishaenda unabadirishwa na jina hautaitwa tena James au Peter jina lako litakua kama sio hayati basi utaitwa marehemu,
Imani ikizidi sana nayo ni mbaya inakua ni Imani potofu sometimes inabidi tujifunze ku-balance haya masuala tusitishane kupitiliza, nobody knows what's coming next in another chapter, wote tumepigwa upofu kwa hio tusijitie ujuaji sana kwenye baadhi ya mambo tuishi kwa kiasi maana muda hauna mwenyewe wote tutaondoka ila huu muda utaendelea kuwepo,
Sisi kazi yetu ni moja tu hapa duniani kununua muda ili tuishi ndio maana tunafanya kazi ili tule usipofanya kazi kula yako itakua ya taaabu na kula yako ikiwa ya taaabu maradhi yatabisha hodi na maradhi yakibisha hodi muda wako wa kuwepo hapa duniani ndivyo unavyozidi kupungua
Haya mengine ya kujamiiana nà wanawake kwa wanaume, sio jambo baya na wala halina tatizo lolote zaidi zaidi baadhi ya watu wamekua na Imani zao binafsi ni za kwao wanaamini katika kile wanachokiamini kwamba kufanya Jambo fulani basi ni laana au kufuru kwenye ulimwengu wa nafsi na roho ila all in all yote yapo ndani ya muda, muda ndio unao-ongea haijalishi unafanya nini na wapi ila ukiuchezea muda vibaya utaku-cost
Mfano:
Wewe hujawahi kufika Mwanza alafu unaanza kunieleza kuhusu Mwanza, nitakuelewaje?
Yaan wewe hujawahi kufika Dar alafu unajifanya unaijua Buguruni kuliko wanavyoijua watu wa Dar?
Namaanisha mtu unapozungumzia kuhusu masuala ya rohoni au masuala ya nafsi, nikikuhoji je wewe umewahi kufika uko zilipo hizo nafsi na roho kwenye huo ulimwengu umewahi kufika wewe?
Je! wewe umewahi kufika uko hadi unakua msemaji wa ulimwengu wa uko hadi unafika hatua ya unazisemea nafsi na roho?
Utanijibu nini?
Km hujaelewa hapo basi huwezi kuelewa milele
Muuuda tumia Muda wako vizuri ukienda umeenda asikuongopee mtu sijui utaona nini sijui itakuaje ukienda utakuaje hakunaga hizo habari
Umekuja ukiwa mikono mitupu na siku ukilala utalala mikono mitupu acha kuwatisha watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnakula mbisusu chafu zisizojielewa mtaacha kupata magonjwa umaskini had wa kutafuta mbususu safi duh
Within 10yrs mzinzi yeyote lazima apitie depression kali sawa starehe kali aliokula. For every action there's equal reaction. Hakuna mzinzi anaekosa msongo wa mawazo mkali, nasisitiza mkaliBaada ya maisha kuwapiga naona mnatishana tu mnasingizia sijui kuwa na Wanawake wengi mikosi magonjwa bra bra tu, hakuna cha mikosi wala laana mbususu inaliwa kama kawaida na kazi tunachapa kama kawaida na tunafanikiwa mara mia zaidi...hakuna peponi wala motoni binadamu unapokufa na habari yako inakuwa ndio imeisha .
NB:kikubwa Kinga ni muhimu ila msitishike na mambo ya laana na mikosi
Inapendeza sanaHata ngoma pia