Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Nasoma comments nashangaa. Kuna muda nahisi watu wa huku wana ulimwengu wao wa peke yao kwa vitu wanavyovishuhudia kukutana navyo kama mtoa mada [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Inasikitisha aise
 
mwanaume unafika maiaka 30 hata gono hujui inafananaje sikia kawe PADRI kijanaa 😀 😀 😀 boxer inanata balaa ukikamuaa kitu kinamwagika tuu ndo utajua peku tamu ila nomaaa
Mimi yote hayo nishawahi pata hadi pangusa early stage nikaiwahi

Kasoro ukimwi tu

Now days nimekuwa balozi mzuri wa condom
 
Nafikiri bandiko hili limechelewa kufika hapa, maana vijana tunaangamia, sifa za kuwa na mademu kila mtaa ndizo twataka, kutembeza Ukuni kila jiko ndio fasheni, mwisho wake hakuna mshindi wa hili. Tunayo nafasi ya kujifunza zaidi.
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.

Ufunuo 2:18-29​

Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake; nami nitawaua watoto wake kwa mauti.
Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.

Lakini nawaambia ninyi wengine mlioko Thiatira, wo wote wasio na mafundisho hayo, wasiozijua fumbo za Shetani, kama vile wasemavyo, Sitaweka juu yenu mzigo mwingine. Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja.
Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
 
Nyeto unauza manii zako kwa shetani,wengi awaoni tu lakini ukifunuliwa utopiga nyeto Kisaikoloji shetani ukuwekea taswira ya pisi kali lakini kwenye ulimwengu wa Roho ukuwekea K ya mbwa,mdomo wa nyoka,nk unapokojoa anachukua manii bidhaa zenye thamani ghali kuzimu kuliko hata mtoto mchanga,then unaachiwa magonjwa ya kiroho.
Waliposema usizini hii amri ni kwa faida yako wewe, maana kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi kwa maana KILA mwanaume uacha mikosi yake pale au kuchukua mikosi mingine pale.Uchi usiohalali yako ndio lango kuu la kuzimu. Thus baada ya nyeto ni lzm ujisikie mwepesi na usikie hatia sababu jini aliyefata mbegu zako keshaondoka.
Hata kulala na ke ambae hummiliki mashetani huchukua manii kufanyia mambo yao, ila kwa ke halali kuna wigo mzito (ulinzi) hawawezi chukua
 
Si lazima kuolewa au kuoa.
Unaweza ukapata mtu ambae mnaelewana na mnaendana vizuri, "you build a good rapport with that person.
Hii tusidanganyane, unakuta mna rapport na mtu mwenye rapport na mwingine pia
 
Labda uwe mchawi au ujitoe mazima kwa shetani. Hakunaga mzinzi mwenye heshima hata kama uzinzi wake anafanyia mtwara siku akienda Arusha bado jamii haitamheshimu maana kiroho ni mwepesi anaonekana mzinzi tu mtu hovyo. Na hata ukijitoa mazima kwa shetani ukamtumikia bado uzinzi utaua nafsi na mara nyingi wazinifu huondoka vijana tu. Hii dunia imesetiwa. Kila kilichozuiwa kina madhara yake ambayo huwezi yakwepa hata ukifanya kwa kujificha sirini utaumbuka tu. Huwezi panda uovu ukavuna uzima... Utavuna uovu huo huo tena na kuzidishiwa
Heshima yako sana mkuu, kuna uzi mmoja upo MMU natamani ungeenda kutoa ushauri kule maana vijana wamejisahau kabisa
 
Ufunuo 2:18-29​

Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake; nami nitawaua watoto wake kwa mauti.
Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.

Lakini nawaambia ninyi wengine mlioko Thiatira, wo wote wasio na mafundisho hayo, wasiozijua fumbo za Shetani, kama vile wasemavyo, Sitaweka juu yenu mzigo mwingine. Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja.
Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
Sema umekula sana na sasa umri umeenda unajificha humu kwa biblia...ukweli ni age imesoma😅🤣
 
Sema umekula sana na sasa umri umeenda unajificha humu kwa biblia...ukweli ni age imesoma😅🤣

Nitajie age inayoruhusu kufanya hayo kabla hujaanza kuniwekea limits
 
Nikionaga ma slay queen, wavaa vikuku, wanaochomekea madela kwenye chupi popote pale najua hiyo ni gono/kaswende/UTI sugu imetulia mahala pake inasubiria mpambanaji aende akagaiwe.

Tulinde afya zetu kwa hali yoyote, huwezi tumia kondom kijana wa sasa.

#Intelligent_Agent
Naomba uangallie makala yangu na uitolee maoni kwenye stori of changes
 
Naomba uangallie makala yangu na uitolee maoni kwenye stori of changes
 
Naomba kura yako kwenye makala yangu nilioweka kwenye stories of changes
 
Back
Top Bottom