Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Naaaani amekuaminisha huo ujinga wewe emu amka kwenye huo usingizi wa kifo weewe fikra zako zimeshakufa mkuu usiue na fikra za wengine hakuna kitu km hicho

Hizo ni Imani tu usitake kumuaminisha kila mtu kua kila unachowaza wewe basi sasa hizo Imani za Doeist na Toeist unazozisoma usiwapoteze watu

Umesahau na ile inayosema kwamba mtu anakufa kwa sababu kuna Mungu amekaa kula watu ndio maana watu wanakufa yaani anachagua tu wa kumla km anavyochagua Kuku bandani

Usiwatishe watu

Tumia Muda watu wako vizuri hayo mengine kila mtu yanamkuta hautaishi milele mafanikio kila mtu ameumbwa nayo haijarishi yupo vipi
Hakuna shida maisha ni yako piga nyeto utakavyo matokeo utayaona upende usipende. Kanuni haibishaniwi maana matokeo ya kuifata au kuivunja kanuni yako pale pale
 
Hakuna shida maisha ni yako piga nyeto utakavyo matokeo utayaona upende usipende. Kanuni haibishaniwi maana matokeo ya kuifata au kuivunja kanuni yako pale pale
Naomba uangalie makala yako na unipe kura au maoni yako
 
Wewe Jamaa kuna mawili utakua mganga km sio mganga basi una Imani za kiganga nishakuelewa

Namaanisha mganga wa Jadi siku hizi waganga wanavaa suti

Acha kuwatisha watu kufo kupo tu hautaishi milele wewe hauna kibari cha kuishi milele

Unachotakiwa kuwaambia wautumie Muda wao vizuri sio unakaa kuwatisha

Haya nikikuuliza hao viumbe wakati wanakula wewe ulikuepo uliwaona ulifika kwenye ulimwengu wao?

Utanijibu nini?

Acha kutujaza ujinga

Siwaambii watu wafanye Punyeto na habari km hizo Je weeewe ukilala na mkeo hiko kiumbe hakili shahawa zako?
Huwambii watu "wapige nyeto" hii ndo kauli njema, tuko pamoja kiongozi
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Nyie hao wanawake mnawatoa wapi acheni kupenda vitonga na kudandia mizoga
 
Mimi sipigi NYETO wewe ninawakamua vilivyo hata mkeo akijirengesha namkamua yaan sio mkeo tu hata mama ako akijirengesha napita nae

Nnachopingana na wewe unajichanganya sana kwenye maelezo yako unasema kulala na wanawake wengi ni makosa kisa kuna nafsi na roho

Bado hapo hapo unasema kupiga Punyeto kuna viumbe vinakula shahawa sasa nini ni nini hapo?

Huoni unajichanganya mwenyewe
Sasa kama kila tundu unapita nalo hata mama yako unaweza mkamua unataka uharibikiwe mara ngapi? Mpaka hapo unaonesha ni mtu wa aina gani, mpaka hapo hauko sawa, ushaelekea kibra
 
Wewe umesema alafu unajivika mamlaka ambayo huna unakosea sasa mkuu wewe ni nani wa kuniambia Mimi hivyo una uwezo gani

Yaan hata nikikuambia uniambie nini kitakupata baada ya Dakika 2 wewe km wewe huwezo huo huna wewe ni KIPOOOOFU
Tumalize mjadala, wee kula upendavyo ni haki yako na hamna shida yoyote, mimi ndo mshamba sijui mambo ya starehe
 
Unajiriwadha

Narudia tena wewe ni KIPOFU tu yaan KIPOFU

Huna Power yoyote ya kuona viumbe unavyosema unaweza kuviona na huna awezo wa kuvitolea ushahidi

Huna Power yoyote ya kujiongezea umri wa kuishi hapa duniani Muda wako ukiisha umeisha UTAKUFA huwezi kujiongezea umri wa kuishi Muda wako ukiisha tunakuzika

Huna Power yoyote ya kumzuia mkeo asimegwe na wahuni wahuni wakikuamulia atamegwa tu sana sana utaishia kujinyonga au kusababisha mauaji

Huna Power yoyote ya kujua nini kitajiri kwako wewe Jioni ya leo au hata baada ya dakika 2 zijazo hio Power huna huna hio Power

Huna Power yoyote ya kumuambia mtu yoyote kuhusu habari za nafsi na roho huuuna hio Power narudia hio Power wewe huna

Huna Power ya kuzuia mtu asife hata wewe mwenyewe huwezi kujizuia usife

Wewe ni KIPOFU tu hujui unakokwenda wala unakotoka KIPOFU wewe kuishika smartphone na kuweza kuandika na kutype kusikufanye ukajiona unauwezo wa kuona saaana tena sana sana utakua unamkufuru MUNGU-Mwenyezi wako aliekuumba kwa kujipa mamlaka yasiyo ya kwako

TUBU DHAMBI ZAKO

Nimemaliza mkuu
Tuko pamoja ndugu, tutubu dhambi zetu na tuombeane heri, nisamehe kama michango yangu imekukwaza kwa namna moja au nyingine, karibu tujadiliane siku nyingine na uwe na amani
 
Unajiriwadha

Narudia tena wewe ni KIPOFU tu yaan KIPOFU

Huna Power yoyote ya kuona viumbe unavyosema unaweza kuviona na huna awezo wa kuvitolea ushahidi

Huna Power yoyote ya kujiongezea umri wa kuishi hapa duniani Muda wako ukiisha umeisha UTAKUFA huwezi kujiongezea umri wa kuishi Muda wako ukiisha tunakuzika

Huna Power yoyote ya kumzuia mkeo asimegwe na wahuni wahuni wakikuamulia atamegwa tu sana sana utaishia kujinyonga au kusababisha mauaji

Huna Power yoyote ya kujua nini kitajiri kwako wewe Jioni ya leo au hata baada ya dakika 2 zijazo hio Power huna huna hio Power

Huna Power yoyote ya kumuambia mtu yoyote kuhusu habari za nafsi na roho huuuna hio Power narudia hio Power wewe huna

Huna Power ya kuzuia mtu asife hata wewe mwenyewe huwezi kujizuia usife

Wewe ni KIPOFU tu hujui unakokwenda wala unakotoka KIPOFU wewe kuishika smartphone na kuweza kuandika na kutype kusikufanye ukajiona unauwezo wa kuona saaana tena sana sana utakua unamkufuru MUNGU-Mwenyezi wako aliekuumba kwa kujipa mamlaka yasiyo ya kwako

TUBU DHAMBI ZAKO

Nimemaliza mkuu
Mzee una shida sehemu juchunguze.
 
Nyeto unauza manii zako kwa shetani,wengi awaoni tu lakini ukifunuliwa utopiga nyeto Kisaikoloji shetani ukuwekea taswira ya pisi kali lakini kwenye ulimwengu wa Roho ukuwekea K ya mbwa,mdomo wa nyoka,nk unapokojoa anachukua manii bidhaa zenye thamani ghali kuzimu kuliko hata mtoto mchanga,then unaachiwa magonjwa ya kiroho.
Waliposema usizini hii amri ni kwa faida yako wewe, maana kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi kwa maana KILA mwanaume uacha mikosi yake pale au kuchukua mikosi mingine pale.Uchi usiohalali yako ndio lango kuu la kuzimu. Thus baada ya nyeto ni lzm ujisikie mwepesi na usikie hatia sababu jini aliyefata mbegu zako keshaondoka.
Wakaba nyoka kazi tunayo!
 
Mzee una shida sehemu juchunguze.
Wewe ndio una shida sehemu

Ukinyoosha kidole kimoja mbele kumnyooshea mtu au kunielekezea mimi usisahau kuna vidole vinne vyote vina-point kwako, that's true meaning of what goes around comes around yaan unaponiambia Mimi nijichunguze weewe inabidi uwe umeshajichunguza mara 4 kuliko nilivyojichunguza Mimi

Anza kujichunguza wewe mwenyewe maneno yangu sio Sheria ukitaka chukua usipotaka acha

And lastly huna hio Power ya kuniambia Mimi nijichunguze huuuna your too Powerless

Ungekua na Power usingeniambia maneno hayo

Nawasilisha mkuu
 
Kwanza ujue uti inapitia wapi kuingia mwilini mwako kama ni njia ya mkojo manake ukila tigo kavu una asilimia kubwa kupata UTI na ukila kavu ukahamisha shimo nyote munakuwa munazipaka mavi njia zenu za haja ndogo kwaiyo munakuwa kwenye asilimia kubwa kupata UTI alfu sasa ukivaa ndomu ukala kote u akuwa unamtengenezea KE uit kama utaamua kutumia kinga chagua shimo moja umalizane nalo mwanzo mwenga. Utakuwa salama kwa 60%
Ngoja nipigie mstari jibu, kwa hiyo unakula TIGO kwa condom, kisha unabadilisha condom, unakula mbele - si ndio maana yake Mkuu? Hapo inakuwa salama salmin....
 
Hayo magonjwa kusumbua wanawake wengi sababu sio ngono nzembe bali sababu kubwa ni aina ya pedi tunazotumia....tunatakiwa turudi kwenye kutumia vitaulo sababu hili limekua ni janga kubwa sana kwetu
 
Back
Top Bottom