Nyeto unauza manii zako kwa shetani,wengi awaoni tu lakini ukifunuliwa utopiga nyeto Kisaikoloji shetani ukuwekea taswira ya pisi kali lakini kwenye ulimwengu wa Roho ukuwekea K ya mbwa,mdomo wa nyoka,nk unapokojoa anachukua manii bidhaa zenye thamani ghali kuzimu kuliko hata mtoto mchanga,then unaachiwa magonjwa ya kiroho.
Waliposema usizini hii amri ni kwa faida yako wewe, maana kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi kwa maana KILA mwanaume uacha mikosi yake pale au kuchukua mikosi mingine pale.Uchi usiohalali yako ndio lango kuu la kuzimu. Thus baada ya nyeto ni lzm ujisikie mwepesi na usikie hatia sababu jini aliyefata mbegu zako keshaondoka.