Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Tatizo unaona hapa ulipo sasa, huoni mbele ila angalia miaka 10 qu 20 mbele utapoteza kila kitu.
Unaweza kufocus miaka 10 au zaidi mbele maisha yakaja kukupiga counter attack moja ukajikuta umepoteza kila kitu,wapo waliokuwa vizuri kiuchumi waaminifu watakatifu lakini leo hii wamefilisika wameanza na moja,kuna yule boss wa dodoma aliyekuwa akisambaza beer na soda dodoma yote alikufa ghafla alipata shambulio la moyo baada ya magufuli kumkwangua kila kitu,kuna yule mmiliki wa Sahara media Antony diallo leo hii anapumulia mashine amefilisika wafanyakazi wanadai mishaara zaidi ya miezi 6,,maisha ni fumbo kubwa hatujui kesho yetu itakuwa vipi.
Mfano yule boss wa fiesta alikuwa tamasha moja anaingiza zaidi ya 200m na kafanya kazi toka miaka ya 90's ila alipoumwa akawa hana kitu ikabidi raia wachangishane kumtibia,
Kuhusu kuchangiwa kwa huyo aliyekuwa boss wa fiesta haimaanishi kwamba alikuwa hana pesa' michango ipo kwa yoyote michango ipo kiutu na kibinadamu zaidi hata professor jay mbona alichangiwa mpaka na serikali!! alikuwa hana pesa za matibabu?
hapo ndo ujue mwisho wa mzinzi sio mzuri so usitazame ulipo now itazame kesho unayojiandalia kwa kulala na kila mwenye tundu
Wapo ambao sio wazinzi lakini wameletewa magonjwa na wenza wao,tafiti inaonesha wanandoa ndio wanaongoza kuleteana magonjwa ya kuambukiza na ndio hao hao wanandoa wamelishtua sana taifa kwa mauaji wanayofanyiana kila siku.
Hakuna laana,hakuna mikosi,hakuna pepo wala hakuna moto binadamu ukifa na habari yako ndio imesha.
 
Bro tufanye uzinzi, ulevi nk ni vitu vizuri sana, mfundishe mwanao kuvifurahia na hata uteja na ushoga ni fresh tu maana kuna mashoga wenye hela na hakuna shida yoyote. Maisha yako ni yako ishi utakavyo hakuna atakaekuingilia
 
Within 10yrs mzinzi yeyote lazima apitie dispersion kali sawa starehe kali aliokula. For every action there's equal reaction. Hakuna mzinzi anaekosa msongo wa mawazo mkali, nasisitiza mkali
Kuanguka kiuchumi hata ambao sio wazinzi ipo sana na wengine wamekufa kwa msongo wa mawazo.
Kimagonjwa wewe unaweza kuwa muaminifu lakini mkeo/mumeo akakuletea magonjwa.
 
Mkuu unasemaje kuhusu wale wanaojichukulia sheria mkononi
 
Umesahau ile harufu kali daaah
Maisha haya
Mtu anakusumbua kukupa unakomaa anasumbua unakomaaa hadi unampata
Hiyo siku unapewa hata goli moja unalipata kwa tabu

Ivi kweli wenye tatizo hilo huwa hawasikii ile harufu mpaka waambiwe??
Mtu mrembo alaf mnaachana siku ya kwanza inaumaaa alaf ulikuwa unamkubali
 
Kuanguka kiuchumi hata ambao sio wazinzi ipo sana na wengine wamekufa kwa msongo wa mawazo.
Kimagonjwa wewe unaweza kuwa muaminifu lakini mkeo/mumeo akakuletea magonjwa.
Kuna ajali ya kujitakia au uzembe wako na kuna ajali ya kusababishiwa so vyote vipo wee jitahidi uepuke hiyo ya kujitakia na uzembe
 
Hiyo manzi yako si ungeiambia ukweli, kwani angefanyeje?
 
Si muoane na Beesmom
 
Atakuelewa nani hiki kizazi cha ngono
 
Nasoma comments nashangaa. Kuna muda nahisi watu wa huku wana ulimwengu wao wa peke yao kwa vitu wanavyovishuhudia kukutana navyo kama mtoa mada [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yapo asee ndio hivo huwa tunamalizana nayo, wachache ndio uthubutu kuongelea majukwaani.

Mzigua katika ubora wako, upo tu we mwanamama!
 
Banadamu tunajionaga wajanja na kudhani tuko pekeyetu hapa duniani kumbe tupo na viumbe vingi mno visivyoonekana kwa macho ila vyenyewe vinatuona, vingine vinategemea manii zetu na ndo maana nyeto ina addiction kama ngono tu na madhara ni yale yale
Nyeto unauza manii zako kwa shetani,wengi awaoni tu lakini ukifunuliwa utopiga nyeto Kisaikoloji shetani ukuwekea taswira ya pisi kali lakini kwenye ulimwengu wa Roho ukuwekea K ya mbwa,mdomo wa nyoka,nk unapokojoa anachukua manii bidhaa zenye thamani ghali kuzimu kuliko hata mtoto mchanga,then unaachiwa magonjwa ya kiroho.
Waliposema usizini hii amri ni kwa faida yako wewe, maana kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi kwa maana KILA mwanaume uacha mikosi yake pale au kuchukua mikosi mingine pale.Uchi usiohalali yako ndio lango kuu la kuzimu. Thus baada ya nyeto ni lzm ujisikie mwepesi na usikie hatia sababu jini aliyefata mbegu zako keshaondoka.
 
Dah aisee mtoa mada umetutisha Sana acha tubadilike tuanze kusoma biblia na kusikiza Quran maana huku kuwakaanga Sana wanawake pesa inapotea na afya inakuwa Kama Umedumaa Kama huli chakula Cha kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…