Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Kuna vitu tunavipuuza haswa Mila na maandiko haya madhara yanakuwa ya kawaida sana, na ni hatari siwafichi hata kama mm bado sijaoa ila ndoa ni muhimu sana ....ujana una mambo mengi ila ukioa unaweza kutulia na kufanya maendeleo ya maanaMie naona hizi tozo zitumike katika kuwa saidia vijana waoe mapema kwa kuwapatia nyumba
Ujana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.Kuna vitu tunavipuuza haswa Mila na maandiko haya madhara yanakuwa ya kawaida sana, na ni hatari siwafichi hata kama mm bado sijaoa ila ndoa ni muhimu sana ....ujana una mambo mengi ila ukioa unaweza kutulia na kufanya maendeleo ya maana
Utaharibika mkuupoleni, wazee wa self-service tushasahau hayo ma STIs
Ngoja nikusogeleee...Hata Kwa wanaume pia,punguzeni kutombatomba hovyo tafadhalini,mtatuua na UTI.....Afu punguzeni kula pisi Kali tuchukueni Sisi wenye sura ngumu jaman huenda mkapona,pisi Kali a.k.a slayqueen wanapendwa na wengi mno kukataa wote ni ngumu maana pesa za kuendelea kujing'arisha wanazitaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafadhali geukieni kwetu nasi tuna vitumbua jamen[emoji849][emoji119]khaa
Tatizo vitumbua vyenu unasema mnafanya self service. Mkitongozwa pm mnaleta maringo sasa tufanyejeHata Kwa wanaume pia,punguzeni kutombatomba hovyo tafadhalini,mtatuua na UTI.....Afu punguzeni kula pisi Kali tuchukueni Sisi wenye sura ngumu jaman huenda mkapona,pisi Kali a.k.a slayqueen wanapendwa na wengi mno kukataa wote ni ngumu maana pesa za kuendelea kujing'arisha wanazitaka 🤣🤣🤣🤣🤣 tafadhali geukieni kwetu nasi tuna vitumbua jamen🙄🙌khaa
Pole sana🤣🤣Ujana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.
Mwili nao unataka kujipoza sometimes . Chaputa haiwezi kukuridhisha kila muda. Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana kwa vijana
mimi na aneyameza 'mbaazi' na tricozole nani anaharibika ?Utaharibika mkuu
🤣🤣Upo lakin?Tatizo vitumbua vyenu unasema mnafanya self service. Mkitongozwa pm mnaleta maringo sasa tufanyeje
Nipo nyie sii mnatutosa tukija kwenye pm zenu🤣🤣Upo lakin?
Sawasawa mkuuNgoja nikusogeleee...
Huwenda ukawa na solution yangu kukwepa UTI.
Ugonjwa wa kimaskini
Asante....tusiwalaumee vijana kuoa inabidi uwe umejipanga lah sivyo watu watakulaga kitumbua chakoPole sana🤣🤣
Kufa kupo tu...Kukojoleana kutamu mkuumimi na aneyameza 'mbaazi' na tricozole nani anaharibika ?
Hili nalo vijana kalitizameni,Hata Kwa wanaume pia,punguzeni kutombatomba hovyo tafadhalini,mtatuua na UTI.....Afu punguzeni kula pisi Kali tuchukueni Sisi wenye sura ngumu jaman huenda mkapona,pisi Kali a.k.a slayqueen wanapendwa na wengi mno kukataa wote ni ngumu maana pesa za kuendelea kujing'arisha wanazitaka 🤣🤣🤣🤣🤣 tafadhali geukieni kwetu nasi tuna vitumbua jamen🙄🙌khaa
kufa mapema sitaki, hata kukojoa mbona na mie nakojoaKufa kupo tu...Kumkojoleana kutamu mkuu
Hizo self service zimezidi aisee.Tatizo vitumbua vyenu unasema mnafanya self service. Mkitongozwa pm mnaleta maringo sasa tufanyeje
Waambie nao watoe vitumbua vyaoHili nalo vijana kalitizameni,