Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Niliyakanyaga kama sio kudandia mtumbwi wa vibwengo. Sasa hivi nimebaki mtakatifu sikuwahi jua kuna magonjwa hatari hivyo.
Nyuzi kama hizi sijui uti, gono, fingusi nilikuwaga nazipita kama sizioni, niliponasa nilijuta yaani ni mateso makubwa.
Tubaki njia kuu sii kila chupi niyakufunua