Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Every dog has its day.

Iko siku yao utaita maji mmma!!

Halafu usikute hapo unayo ila unajidai tu hapa

Maana nyie hata miaka 3 mnaishi na hayo makitu Wala hamshutukia.

Siku ukija sikia umepa shida kwenye mfumo wa mkojo au kizazi usishangae.
Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu 🙌
 
Kuna wakati vijana huwa siwaelewi mnataka nini. Hivi kipi bora mke wako kujisavia au akaitunuku kwa jamaa limwagie humo ndani mash.ahawa! Nadhani bora ajisevie au hata awe ni msagaji kuliko kuigawa kwa jamaa.
Ahh wee... awe msagaji tena? Bora awe anapiga self service tu... au hata ningekua siwez show sinanunua hata toys tunakua tunatumia kumridhisha. Ilimrad asicheat tu nakutuletea magonjwa ndani...
 
Kwanza kabisa jua kuwa kaambukizwa na mwanaume,pili kamwe usiamini mtu tumia condom wewe. Kapime HIV.
 
Wale ndg zetu wanaita hili Ni DARSA.
 
Kwanza kabisa jua kuwa kaambukizwa na mwanaume,pili kamwe usiamini mtu tumia condom wewe. Kapime HIV.
Kuna baadhi ya wadada hawapendi condoms kabisa. Hii nimekutana nayo sanasana lindi... madem wengi huko hawapend condoms. Kwani kuna kitu (baadhi ya) wadada hampendi kuhusu condoms?
 
Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu [emoji119]
Nitunuku mimi baada ya siku mbili nitakuletea majibu ya uhakika kama upo salama au ukamuone daktari.
 
Ahh wee... awe msagaji tena? Bora awe anapiga self service tu... au hata ningekua siwez show sinanunua hata toys tunakua tunatumia kumridhisha. Ilimrad asicheat tu nakutuletea magonjwa ndani...
Kwani usagaji unatatizo gani kwenye K? Kosa kuingiza nyama ya mtu katika K
 
Jamani sio UTI ni chlamydia ni ugonjwa wa zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…