kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Acha kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁 Sasa hicho ndicho kiwanda kamili.Umeme hapo Ni wa 3KVVikuku ndo ugonjwa wangu. Nikiona demu kavaa vikuku de libolo linapandisha mashetaniView attachment 2348771
Kuna wakati vijana huwa siwaelewi mnataka nini. Hivi kipi bora mke wako kujisavia au akaitunuku kwa jamaa limwagie humo ndani mash.ahawa! Nadhani bora ajisevie au hata awe ni msagaji kuliko kuigawa kwa jamaa.Hizo self service zimezidi aisee.View attachment 2348801
Pole sana mkuu,Anza dawa mapema.Hapa nilipo nimetoka hospital kumpeleka jamaa yangu,eti kaambiwa ana UTI 1000.
Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu 🙌Every dog has its day.
Iko siku yao utaita maji mmma!!
Halafu usikute hapo unayo ila unajidai tu hapa
Maana nyie hata miaka 3 mnaishi na hayo makitu Wala hamshutukia.
Siku ukija sikia umepa shida kwenye mfumo wa mkojo au kizazi usishangae.
😂😂😂😂 kazi iendelee 😋😋Na bado tunapiga dekio, tunazama chumvini 🤔
Hata usipozama chumvini, unapiga MBUPU anachomoa ukuni anaunyonya, kisha unamnyonya mate kazi inaendelea 🤭😔
Mungu atunusuru japo tunamkosea.
Ahh wee... awe msagaji tena? Bora awe anapiga self service tu... au hata ningekua siwez show sinanunua hata toys tunakua tunatumia kumridhisha. Ilimrad asicheat tu nakutuletea magonjwa ndani...Kuna wakati vijana huwa siwaelewi mnataka nini. Hivi kipi bora mke wako kujisavia au akaitunuku kwa jamaa limwagie humo ndani mash.ahawa! Nadhani bora ajisevie au hata awe ni msagaji kuliko kuigawa kwa jamaa.
Kwanza kabisa jua kuwa kaambukizwa na mwanaume,pili kamwe usiamini mtu tumia condom wewe. Kapime HIV.Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Wale ndg zetu wanaita hili Ni DARSA.Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni
E. coli (Escherichia coli0
2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
Kuna baadhi ya wadada hawapendi condoms kabisa. Hii nimekutana nayo sanasana lindi... madem wengi huko hawapend condoms. Kwani kuna kitu (baadhi ya) wadada hampendi kuhusu condoms?Kwanza kabisa jua kuwa kaambukizwa na mwanaume,pili kamwe usiamini mtu tumia condom wewe. Kapime HIV.
Nitunuku mimi baada ya siku mbili nitakuletea majibu ya uhakika kama upo salama au ukamuone daktari.Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu [emoji119]
Motivational speaker mmeshaanza Mambo yenu.Hao wanawake wa hivyo mnawapata wapi
Kabisaaa Aunt!Usijumuishe wote
Unajitolea kwaajili ya umma...Nitunuku mimi baada ya siku mbili nitakuletea majibu ya uhakika kama upo salama au ukamuone daktari.
Kwani usagaji unatatizo gani kwenye K? Kosa kuingiza nyama ya mtu katika KAhh wee... awe msagaji tena? Bora awe anapiga self service tu... au hata ningekua siwez show sinanunua hata toys tunakua tunatumia kumridhisha. Ilimrad asicheat tu nakutuletea magonjwa ndani...
Mmmmmmmmmh[emoji23][emoji23][emoji23] Tena atutoe
Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..