Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
Aise bora tuu tuendelee na chaputa
 
Hela ni muhimu sana kwa mwanaume maana kikinuka huwa inakukata stimu kabisa.
Yaani hakikisha unayo hela ya dawa na Azuma. Na unaweza kutumia dawa zote unakuta hauponi. Unapima mpaka ukimwi unakuta upo negative. Ila bado hauponi. Kuna warts sugu na ugonjwa wa "dawa ya meno" sugu, yaani mashine inatema usaha kama dawa ya meno yaani hatari sana.

Bora puli.
 
Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
Duh!!!!....
 
Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu[emoji35]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu[emoji35]
Mwanamke anaweza kukuona hanisi kumbe unamkwepa usije mpa tabu na yeye.
 
Wanaume uwa tunajiua kirahisi sana

♦️ Unakuta kauga ,kajipaka manukato

♦️Kavaa nguo saafi tena na naliliu nyeupee kabisa

♦️Akiĺi yako inakudanganya kuwa kama yalivyo mavazi ndivyo naye alivyo inside ze blood and ze mashine

♦️Putuuu ingia kavukavu uone shughuli ya jeshi si.umedanyanyika na saa sita ukadhani ni new and unused?🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Back
Top Bottom