Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni

E. coli (Escherichia coli0​

2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
Dah! Kwa hiyo mkuu unatoa njia ili watu waendelee kufirana [emoji848]
 
Ujana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.

Mwili nao unataka kujipoza sometimes . Chaputa haiwezi kukuridhisha kila muda. Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana kwa vijana
Mkuu unaweza kuanzia popote Maisha ni kuinjoi katika umri wowote kikubwa sote tutakufa hamna umri maalumu wa kufa pia, unaweza pata mke mzuri mkamalizia Maisha mkavumiliana wapo vijana wanaoa miaka 26 mpaka miaka 28 hamna ndoa Tena..

Kama moyo hautaki usiforce fanya vile roho inapenda .
 
Miaka km mitano hiv nyuma tangu hapo hta niwe na homa vip sijawahi pima nikakutwa na UTI
Mara ya mwisho juz tu nilikuwa naumwasana tumbo nikhis huenda yenyew lkn hamna
Unafiri kipindi hicho ilisababishwa na nini mpaka sasa isikupate tena
 
Sasa niambie kazi sii tunayo mwanawane hapa...ebu cheki litango hilo, kibamia changu kinaingia mara kumi hapo. Huyo akinipea nakuwa napwaya tuu
Hahah ndio maana wajomba wanasema principal Sasa Ni tomber,mwaga,sepa zako.

Mambo ya kujifanya kumridhisha utaishia tu kupata matatizo ya mgongo wkt Ni Kijana mdogo 😄😄
 
Mkuu unaweza kuanzia popote Maisha ni kuinjoi katika umri wowote kikubwa sote tutakufa hamna umri maalumu wa kufa pia, unaweza pata mke mzuri mkamalizia Maisha mkavumiliana wapo vijana wanaoa miaka 26 mpaka miaka 28 hamna ndoa Tena..

Kama moyo hautaki usiforce fanya vile roho inapenda .
Ndio mwanawane. Ila kuoa muhimu bwana....ninaishi kwa majuto tuu hapa.
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Sitosahau 2017 aisee nilijuta kuzaliwa.

Nilijiapiza Mimi na ndomu milele.

[emoji1787][emoji1787][emoji1]

Vaeni ndomu acheni kutembelea Ringi wenzetu Hawa hawajali afya zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tena atutoe

Kama mie ndio hata sijui vidonge vya UTI vinafananaje mpaka hapa nilipofikia..
Every dog has its day.

Iko siku yao utaita maji mmma!!

Halafu usikute hapo unayo ila unajidai tu hapa

Maana nyie hata miaka 3 mnaishi na hayo makitu Wala hamshutukia.

Siku ukija sikia umepa shida kwenye mfumo wa mkojo au kizazi usishangae.
 
Back
Top Bottom