Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Wanawake wananuka sana siku hizi wanatoa sana ndogo, hawanyi kabla ya kutoa ndogo, machine zinapoga ndogo na kuhimia Kwa K-Vant bila kunawa, nyesi linaingia Kwa K-Vant, kuoga wavivu, hovyo kbsa shahawa wanamwagiwa na wengi mwanamke anapigwa na watu 10-20, hawachambi Kwa maji hujali tishu hawanawi, hawatembei na lesson, wala kanga siku hizi wanawake ni mabaya tu
Dah mkuu[emoji51]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sindompaka ufike salama huo muda kama ukiamua kutumia huo ujana wako wa moto. Au we ukajua ukishautumia hauna consequences [emoji23][emoji23]. Hayo magonjwa kwavile siyo HIV na tunayatibia yanapona tunadhani hamna madhara. Ila kimsingi yanashusha probability yako ya kupata mtoto uwe mwanaume au mwanamke.
Mkuu tuchakate mbususu, hakuna haja ya ku-complicate mambo kikubwa uhai tu
 
"...ukiruka stage flani katika maisha Kuna siku utaifanya ukiwa mzee..."
naogopa sana sentensi hiyo hapo juu! Miaka 50 kasoro kidooogo, sijawahi kuugua ugonjwa wowote wa zinaa, wanawake niliowahi kutembea nao nawakumbuka wote kwa sura na majina yao, kabla siajoa ilikuwa vigumu sana kuwa na mahusiano na wasichana wawili kwa wakati mmoja!
 
Hayo magonjwa kusumbua wanawake wengi sababu sio ngono nzembe bali sababu kubwa ni aina ya pedi tunazotumia....tunatakiwa turudi kwenye kutumia vitaulo sababu hili limekua ni janga kubwa sana kwetu
Au vile vitenge mnakata kata papuchi inakua salama dada ake

Hata Jez ya man u inafaa
 
Aiseeeeeeee..... PID wengi sana inawamaliza, wakija kushtukiaa ishakomaaaa
 
"...ukiruka stage flani katika maisha Kuna siku utaifanya ukiwa mzee..."
naogopa sana sentensi hiyo hapo juu! Miaka 50 kasoro kidooogo, sijawahi kuugua ugonjwa wowote wa zinaa, wanawake niliowahi kutembea nao nawakumbuka wote kwa sura na majina yao, kabla siajoa ilikuwa vigumu sana kuwa na mahusiano na wasichana wawili kwa wakati mmoja!
Ukifa utaenda peponi
 
Unakuta mwanaume anakula wanawake kibao kwa wakati mmoja na hakumbuki kinga kwa nini usikipate cha moto??? haya bado wale wapita rough roads tena peku alafu unakuta nae yupo hapa kuponda wanawake ebooo badilikeni kwanza nyie.
Wanaume ni viumbe watakatifu haya magonjwa mnatuletea nyinyi
 
Lakini huyo mwanamke ameupata wapi kama siyo kkutoka kwa mwanamme mwenzako?
Hawa virus na bacteria wanaishi kwenye vagina as free state Kama vile bacteria anavyoishi kwenye udongo so wakizidi ndio inakuwa shida nyinyi ndio kama agent au tuseme vector
 
Wanawake wananuka sana siku hizi wanatoa sana ndogo, hawanyi kabla ya kutoa ndogo, machine zinapoga ndogo na kuhimia Kwa K-Vant bila kunawa, nyesi linaingia Kwa K-Vant, kuoga wavivu, hovyo kbsa shahawa wanamwagiwa na wengi mwanamke anapigwa na watu 10-20, hawachambi Kwa maji hujali tishu hawanawi, hawatembei na lesson, wala kanga siku hizi wanawake ni mabaya tu
Saivi kati ya wanawake 3 basi walau 1 ana harufu mbaya sana ukeni. Ukiingiza mb.oo hlf ukachomoa utakuta mb.oo inatoka na hiyo harufu mbaya kabisa hata paka aliyekufa anasubiri. Sijui ndoizo wanaita PID sijui. Halafu unakuta huyo ni mdada pisi kali tu wakutazamika.

Shida sasa ukiwaambia ukweli ndo hapo mnaanza kubishana na kununiana.
 
Mkuu hiyo siyo UTI ni gonorrhea au kisonono. Nauhakika iliambatana na maumivu makali wakati wakukojoa
nilienda hospitali nikakutana na dokta aka niambia ni UTI baada ya vipimo vikubwa. swali langu ni kuwa wewe na daktari nani anajua zaidi au wewe na vipimo nani anajua zaidi na kwa sasa niko poa baada ya kutumia vidonge vya UTI
 
Gonorrhea na UTI vyote hutibiwa na antibiotics na actually gonorrhea inaweza tibiwa kwa vidonge tu na sio sindano maana sio lazima uchome powersafe kupona gono. Na moja ya vidonge vinavyotibu uti, pia hutibu gono, hapo nasema cipro au amoxiclav. So nothing new.
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Hatari tumependeza usoni tu ndani balaa!
 
Back
Top Bottom