Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Kwakweli mi kwa sasa sipigi dem yoyote bila ndom… Labda mama watoto tu.. hizi pisi zitatuua… Nilipata Gono plus upele flan hivi (scabies) asee nimetezeka sana sirudii ujinga huu. Pombe zilinicost nikauza match. Nashukuru tu sikupata ngoma ila kiukweli ingekua ndo zama zile hakuna ARV basi wengi tungekua tushaangamia maana nasikia muathirika akiwa anatumia ARV kidogo inapunguza chance ya kusambaza VVU. Sirudii kuuza match[emoji28]
Kaka NMEƘUDM NMEKUTUMIA MESSAGE NAOMBA UNIJBU
 
Kwakweli mi kwa sasa sipigi dem yoyote bila ndom… Labda mama watoto tu.. hizi pisi zitatuua… Nilipata Gono plus upele flan hivi (scabies) asee nimetezeka sana sirudii ujinga huu. Pombe zilinicost nikauza match. Nashukuru tu sikupata ngoma ila kiukweli ingekua ndo zama zile hakuna ARV basi wengi tungekua tushaangamia maana nasikia muathirika akiwa anatumia ARV kidogo inapunguza chance ya kusambaza VVU. Sirudii bro ulitumia njia gan matibabu yan nateseka na huu ugonjwa
 
Back
Top Bottom