Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Ni vyema tukaendelea kukumbushana kuhusu matumizi sahihi ya Condom, kuwa waaminifu kwenye mahusiano yetu ikiwemo kutokuwa na mahusiano mengi (Multiple partners).

Vijana waambiwe kuwa utamu wa pipi ni mate yako, kwahiyo unaweza kutumia mpira na ukapata ladha ile ile tarajiwa 🤗
Nakazia ujumbe mkuu, umenena Kweli kbsa
 
Hakuna UTI inaeambukizwa kwa njia ya vagina sex au anal sex.. wote mnaosema mmeambukizwa UTI sugu ni mliambukizwa Chlamydia au Gonorrhea baaasii amna stori mingi.
Sure [emoji419] watu wanapata gonococcal urethritis wanasingizia U.T.I, sema in broad terms kwa layman wameshaaminishana hivyo kwa vile maambukizi yanakua yameascend mpaka katika njia ya mkojo. So any urinary tract symptoms wanageneralize kua U.T.I.

Pia hii ya kuita U.T.I flani ni sugu hapo napo wanakosea.
 
Hata useme namna gani hawata kuelewa.
 
Back
Top Bottom