Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Jamani UTI haiambukizi kwa ngono na sio ugonjwa wa zinaa [emoji849]
Naona watu sasa hivi wanasema ohh ameambukizwa UTI sugu.

Sema umeambukizwa ugonjwa wa Zinaa ambayo ni Kasendwe , Kisosono, Pangusa , VVU na mengine kama Herpes
Boraa usemee wee. Maana watu washaanza kusema uongo uongo.
 
Hizi ATM ziongezwe maeneo yenye mikusanyiko ya watu na matangazo ya msisitizo yawekwe
20230903_132147.jpg
 
Ila watanzania duuh !!!. Mmeshindwa hata kugoogle.


UTIs are not contagious, so you can't catch a urinary tract infection from someone else.

Tumeeleza na kueleza lakini bado wanakaza mafuvu tu.
🤣🤣🤣🤣Bado ujasema ,na mtasema
 
Makundi ambukizi kwa mujibu wa taarifa toka kwa rafiki yangu mwenye Pharmacy mitaa ya Ubungo na Mawasiliano
  1. Mama lishe
  2. Wasaidizi wa mama lishe
  3. Wahudumu wa bar
  4. Wahudumu wa guest house
  5. Wasusi
  6. Wauza magenge ya mbogamboga na matunda
  7. Wapiga debe
  8. Polisi
  9. Mgambo
  10. Wasafisha kucha za akina mama stand
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.

Juzi kuna mkongo kaja ofisini kwangu baada ya kuadimika kwa wilki mbili hakuonekana mjini tulivyomuuliza shida nini akasema kuwa alikuwa anaumwa UTI sugu hadi akalazwa kahangaika kuutibu kwa laki 3, analalamika kuna binti anauza Duka la nguo la jirani ndio kamuambukiza jamaa alitupia voko na Dola za kikongo binti akaelewa na huyo binti ni pisi shombe shombe ya kwenda msafii ukimuangalia ila kamuachia mtu uti sugu wiki mbili yupo kitandani.

Jamaa anasema Congo huko kwao hakuna Uti ndio kaja kuipata hapa tukacheka sana, jamaa anatembea na condom kwenye walet kakoma haswaa.
Dodoma tunaishi nao tu hvohvo
 
Mkiwa na uhakika wa afya zenu kabla mtaenjoy sana kinyume na hapo tahadhari zitakuwa nyingi hadi zinaharibu ladha ya tendo lenyewe
Kwa hali ilivyo mtaani, nashauri suala la matumizi ya Condom lipewe kipaumbele.

Huwezi kumtambua kwa macho.
 
Kwa hali ilivyo mtaani, nashauri suala la matumizi ya Condom lipewe kipaumbele.

Huwezi kumtambua kwa macho.
Binafsi ndom siziwezi, inabidi niachane na ngono kabisa, japo nashukuru sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata mara moja, ila tunapoelekea inaweza kuleta shida.
 
Ni vyema tukaendelea kukumbushana kuhusu matumizi sahihi ya Condom, kuwa waaminifu kwenye mahusiano yetu ikiwemo kutokuwa na mahusiano mengi (Multiple partners).

Vijana waambiwe kuwa utamu wa pipi ni mate yako, kwahiyo unaweza kutumia mpira na ukapata ladha ile ile tarajiwa 🤗
UTI hata utumie condoms bro unaupata ule ugonjwa hauhitaji mchubuko wala nini. Laiti Ukimwi ungekua unasambaa kama UTI tungekwisha.
 
Back
Top Bottom