Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Labda wanamaanisha recurrent/chronic UTI ambayo ni maambukizo katika njia ya mkojo ambayo hayajibu matibabu au yanajirudia mara kwa mara. Yanaweza kuendelea kuathiri njia yako ya mkojo licha ya kupata matibabu sahihi, au yanaweza kurudi baada ya matibabu.
Wana wake walio wengi kwa Sasa ni wachafu sana kupitiliza... Sijui wamekumbwa na nini. ( hasa sehemu zao nyeti wananuka shombo kali sana).
.
 
Wana wake walio wengi kwa Sasa ni wachafu sana kupitiliza... Sijui wamekumbwa na nini. ( hasa sehemu zao nyeti wananuka shombo kali sana).
.
Infections tu hizo waende hospital, ila wengi hawana uelewa wanadhani ni uchafu na wanachukua hatua ya usafi uliopitiliza mpaka na perfume wanatumia, kumbe wanaharibu.
 
Makundi ambukizi kwa mujibu wa taarifa toka kwa rafiki yangu mwenye Pharmacy mitaa ya Ubungo na Mawasiliano
  1. Mama lishe
  2. Wasaidizi wa mama lishe
  3. Wahudumu wa bar
  4. Wahudumu wa guest house
  5. Wasusi
  6. Wauza magenge ya mbogamboga na matunda
  7. Wapiga debe
  8. Polisi
  9. Mgambo
  10. Wasafisha kucha za akina mama stand
bado nauliza, vipi maambukizi ya UKIMWI kwa makundi hayo tajwa?
 
Makundi ambukizi kwa mujibu wa taarifa toka kwa rafiki yangu mwenye Pharmacy mitaa ya Ubungo na Mawasiliano
  1. Mama lishe
  2. Wasaidizi wa mama lishe
  3. Wahudumu wa bar
  4. Wahudumu wa guest house
  5. Wasusi
  6. Wauza magenge ya mbogamboga na matunda
  7. Wapiga debe
  8. Polisi
  9. Mgambo
  10. Wasafisha kucha za akina mama st
Pamoja na haya ulioandika ,jambo la msingi ni kwamba never ever trust any one whether anafanya bank, ikulu,tra,BOT,mwanajeshi, mchungaji,shehe,,mwalimu,mwanafunzi,mkulima or any one else when it comes in the issue of safe sex in our generation, watu wanaonekana wana afya na wamenona lakini mioyoni wamebeba siri zito .
 
Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.

Juzi kuna mkongo kaja ofisini kwangu baada ya kuadimika kwa wilki mbili hakuonekana mjini tulivyomuuliza shida nini akasema kuwa alikuwa anaumwa UTI sugu hadi akalazwa kahangaika kuutibu kwa laki 3, analalamika kuna binti anauza Duka la nguo la jirani ndio kamuambukiza jamaa alitupia voko na Dola za kikongo binti akaelewa na huyo binti ni pisi shombe shombe ya kwenda msafii ukimuangalia ila kamuachia mtu uti sugu wiki mbili yupo kitandani.

Jamaa anasema Congo huko kwao hakuna Uti ndio kaja kuipata hapa tukacheka sana, jamaa anatembea na condom kwenye walet kakoma haswaa.
Hii ni kwa sababu wanamiliku matoi ya uume zaidi majumbani mwao
 
Kuna jambo linapotoshwa kuhusu kuambukizana UTI kwa njia ya ngono.
UTI inasababishwa na bacteria waliopo njia ya haja kubwa (anus). Wakiwa njia ya haja kubwa hawaleti shidaya UTI.
Wakiingia njia ya mkojo husababisha UTI.
Hivyo huenda mnagusisha penis kwenye 'ndogo' kwa bahati mbaya wakati wa kulenga pahala pake au mnatumia kujamiiana kwenye 'ndogo'.
Kwa hivyo tusiwe wepesi kurushia lawama wanawake sababu ya kukosea tendo.
Ko UTI inaambukizwa kwa anal sex? Huu uongo mtupuuu, na hao wasiofanya anal sex UTI wanatoa wapi??
 
Kwakweli mi kwa sasa sipigi dem yoyote bila ndom… Labda mama watoto tu.. hizi pisi zitatuua… Nilipata Gono plus upele flan hivi (scabies) asee nimetezeka sana sirudii ujinga huu. Pombe zilinicost nikauza match. Nashukuru tu sikupata ngoma ila kiukweli ingekua ndo zama zile hakuna ARV basi wengi tungekua tushaangamia maana nasikia muathirika akiwa anatumia ARV kidogo inapunguza chance ya kusambaza VVU. Sirudii kuuza match[emoji28]
 
Tunapata UTI kwa kujamiiana kwa back door na hiyo hupata hata wanaofanya ngono ya watu wa jinsi moja.

Kuna nadharia inasema unaweza kupata UTI mwanaume bila kuichomeka back door kama tu mfano mwanamke amejichokonoa ass kisha akajichokonoa mbele bila kujisafisha. Lakini bado tafiti zinahitajika zaidi kuthibitisha hilo kwa mujibu wa wataalamuna wenyewe.
Mbna Gays hatuoni wakilalama kuwa wanaumwa UTI, ni wanaume tena hao straight ndo kila kukichaa wanalalama tena wanasema wamepata kwa wanawake.

Yaan kila kitu lazima muhusishe GAYS, khaaah
 
lakini UTI sio ugonjwa wa kuambukiza kwa njia ya kujamiana, labda kama alipata magonjwa ya zinaa na wengi hata ukiwaambia wanamagonjwa ya zinaa wakitoka wataenda kusema walikuwa ya UTI, ila UTI huwezi kuipata kwa njia ya tendo la ndoa , sema limekuwa chaka la wahuni wengi kuficha magonjwa yao ya zinaa
Nakazia.
 
Back
Top Bottom