Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hali imekuwa mbaya sana nyakati hizi, siku hizi UTI zimekuwa za kugusa tu, kama usipotumia Ndomu basi ujiandae kupata UTI, Kaswende, Gono hata HIV.Binafsi ndom siziwezi, inabidi niachane na ngono kabisa, japo nashukuru sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata mara moja, ila tunapoelekea inaweza kuleta shida.
Unaweza kumwamini mrembo wako, kumbe naye anakigawa kisiri siri, na vijana wa miaka hii wanavyopenda barabara za vumbi inakuwa ni kugusa tu umenasa.
Ukiweza bora kuishi kama Mtume Paulo tu ama kuwa mwanachama wa akina dronedrake 😅