Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nilikuwa sijui hili 🙌Hata wakati wa kuivua unaweza ipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sijui hili 🙌Hata wakati wa kuivua unaweza ipata.
Ni kweli mkuuVitunguu swaumu huondoa gesi tumboni na kurahisisha mmeng'enyo wa chakula kuwa rahisi.
Aaaaah kumbe🤣🤣Napunguza ukali wa maneno...
[emoji1787][emoji1787]
Nakazia ujumbe mkuu, umenena Kweli kbsaNi vyema tukaendelea kukumbushana kuhusu matumizi sahihi ya Condom, kuwa waaminifu kwenye mahusiano yetu ikiwemo kutokuwa na mahusiano mengi (Multiple partners).
Vijana waambiwe kuwa utamu wa pipi ni mate yako, kwahiyo unaweza kutumia mpira na ukapata ladha ile ile tarajiwa 🤗
Amen Mkuu 🙏Nakazia ujumbe mkuu, umenena Kweli kbsa
UTI mwanaume anaitoa wapi.!?Mhhh siku hizi kila mwanaume anayeumwa UTI kaambukizwa na mwanamke#mnatuonea[emoji134][emoji134]
Sure [emoji419] watu wanapata gonococcal urethritis wanasingizia U.T.I, sema in broad terms kwa layman wameshaaminishana hivyo kwa vile maambukizi yanakua yameascend mpaka katika njia ya mkojo. So any urinary tract symptoms wanageneralize kua U.T.I.Hakuna UTI inaeambukizwa kwa njia ya vagina sex au anal sex.. wote mnaosema mmeambukizwa UTI sugu ni mliambukizwa Chlamydia au Gonorrhea baaasii amna stori mingi.
Hahahahah pole sana mkuu.Wewe Vero ulininyoosha na Ile uliita mkojo mchafu kumbe gono
Mtoto,pis,mtoto waiti,ila baada ya masaa ma4 miwasho kuanza nilinyooka
Nilipanda Hadi gorofa ya 4 NHIF kutafta kadi yangu ya bima bila kupenda,
Hata useme namna gani hawata kuelewa.Sure [emoji419] watu wanapata gonococcal urethritis wanasingizia U.T.I, sema in broad terms kwa layman wameshaaminishana hivyo kwa vile maambukizi yanakua yameascend mpaka katika njia ya mkojo. So any urinary tract symptoms wanageneralize kua U.T.I.
Pia hii ya kuita U.T.I flani ni sugu hapo napo wanakosea.
anaogopa kuambukizwa stdMbona kama unakimbizwa mama mtu!? Hebu tulia flow taratibu tuelewane