OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwamba waanze kutembea na madumu au vispika kama masai?Uzuri zisaidie watu.
Kikubwa mkuu wauze...Kwamba waanze kutembea na madumu au vispika kama masai?
Basi kama vipi waje huku bariadi tupige nao bachelor of science in manyagaKikubwa mkuu wauze...
Chips mayai noma sana!Habari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo,
Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.
Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.
Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?
π π π elimu ya bongo janja janja tu ni theory oriented kuanzia la kwanza mpaka phd level......sasa unamaliza huna experience ya kazi.Basi kama vipi waje huku bariadi tupige nao bachelor of science in manyaga
Mimi ninayo dawa tena unaijua tu unapiga shoo hadi keroo yaaniHabari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.
Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.
Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.
Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?
Ndo uelekeze tuijueMimi ninayo dawa tena unaijua tu unapiga shoo hadi keroo yaani