Siku hizi wanaouza dawa za nguvu za kiume Facebook na X ni madaktari. Maisha yanaenda kasi sana

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu,

Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.

Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.

Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.

Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?
 
Habari wakuu,

Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo,

Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.

Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.

Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?
Chips mayai noma sana!
 
Basi kama vipi waje huku bariadi tupige nao bachelor of science in manyaga
😅😅😅 elimu ya bongo janja janja tu ni theory oriented kuanzia la kwanza mpaka phd level......sasa unamaliza huna experience ya kazi.
 
Wamehamia Dawa za Bawasirii, bas tafrani huko mitandaoni, kila mtu na bei yakee. Lol
 
Habari wakuu,

Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.

Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.

Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.

Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?
Mimi ninayo dawa tena unaijua tu unapiga shoo hadi keroo yaani
 
Back
Top Bottom