OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.
Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.
Kilichonishangaza zaidi wengine ni waajiriwa wa hospitali kubwa zinazoheshimika hapa nchini.
Hili wimbi la madaktari kuvamia biashara ya kuuza dawa za nguvu za kiume na vidonda vya tumbo tena dawa zenyewe ni juisi ya tikiti maji na bamia hawa vijana wamepatwa na nini?