Siku hizi watoto kugraduate chekechea imekuwa dili sana?

Siku hizi watoto kugraduate chekechea imekuwa dili sana?

Ni baraka mkuu kuanza kuvaa joho ukiwa na miaka minne, unalivaa tena ukiwa 14 na 16, 21 na 25
Hiyo miaka ilinipita aisee binafsi sikuwahi kufanya hata party moja nilimaliza na 11 nikaja maliza sekondari na 15 A.secondary nimemaliza na 18 chuo nipo mwaka wa mwisho .....hapa sitataja umri manake duh!!!
N.b nilivuka vidato.
 
Sijui ni uzungu au ni ulimbukeni, wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea. Haya mambo mbona enzi zetu hayakuwepo, au watoto siku hizi wamekuwa vilaza sana!!
Na kwenye kampuni yangu nitataka cheti Cha chekechea! Mkuu usibishane na mabadiliko ya nyakati utapata Bp za bure, jitahidi uwe flexible kuendana na mabadiliko kwenye kila njanja iwe biashara, Elimu, na kila eneo kwa mfano mfanya biashara was nguo uwezi kuweka dukani zile catalog za trousers. za kumwaga chini vijana wanataka slim jeans..Wala usigombane nao ndo mabadiliko hayo.
 
Kama usipotoa hela kwa maskini na sehemu za msingi kwa faida ya sasa na ya baadae... Basi Allah atakupa sehemu ya kupoteza hela isiyokufaa chochote sasa wala baadae...
 
Back
Top Bottom