Siku hizi watu hawasalimiani, ukimshatumia mtu Reels na Memes Instagram mtu anajua uko sawa

Siku hizi watu hawasalimiani, ukimshatumia mtu Reels na Memes Instagram mtu anajua uko sawa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Aisee kuna huyu mwanangu mmoja yeye kila muda anatuma tu reels IG

Hakuna kusalimiana wala kupeana updates ila muda wote ni reels, yaani ukifungua IG unakuta hundreds of reels ambazo amezituma

Na sio kwamba hana kazi, kazini anaenda lakini everytime yuko active anatuma reels tu

Hii ni kwangu tu au na nyie ni the same?
 
My friend salam ni makelele kama mahubiri ya waomba sadaka. Cku hizi kama mtu haonekani online huyo amepatwa na jambo
 
Back
Top Bottom