Siku Idd Amin alipomkamata "inflation"

Basi bwana! Haya ya nyuma yalichunguzwa na watu wakawajibika. Kwanini haya hayachunguzwi? Kwanini CCTV zilitolewa baada ya Lisu kupigwa risasi.... ukisema ushahidi, muuaji huwa anatumia kisingizio cha leta ushahidi kukwepa adhabu!
Kweli Magereza walikosa gari la kuwaleta Mbowe mahakamani? Kuwa mkweli na utakuwa huru. Nina uhakika wewe una madaraka serikalini, rekebisha haya mambo.... demokrasia ya kutoa maoni, kukosoa haipo, jaribu kusema rais hana mamlaka ya kutumia pesa kujenga uwanja chatobila idhini ya bunge kama hutatoweka leo leo... mambo kama hayo! 1954, wewe ni mtumzima sana, una madaraka, rekebisha pale watu wanapopalalamikia! Maaskofu ni wapenzi wazuri wa JPM, lkn wameona kasoro wamejitenga! Nao ni hopeless, ?
 


Mmmmh kwanza kabisa sina mamlaka yoyote yale serikalini...Hivi ni mauaji gani ambayo kwa sasa hayachunguzwi? Mimi naamini kama yapo mauaji yamefanyika polisi wanayafanyia kazi...Bunafsi huwa sipendi kuzungumzia suala la Mhe. Tundu Lisu..suala hilo lina utata mkubwa naishia hapo...ni suala sensitive na ambalo lina mwelekeo wa kisiasa and some people are trying to capitalize on that...naishia hapo...tuviachie vyombo vya dola....Hilo la uwanja sijui wa Chato nalo ni issue??!! How? Yaani watu wa Chato hawasitahili kuwa na uwanja? Na mipango ya ujenzi ilianza lini? Na assuming uwanja huo unajengwa strategically kwa mambo fulani fulani ya kiulinzi na usalama, nasema assuming kwani sijui...hivi tumefikia mahali kuhoji kama mradi huo haustahili na eti ni lazima uthibitishwe na Bunge? How?! I beg to differ..anyway hebu niliache hili...Ila kiukweli kwa maoni yangu JPM anafanya kazi nzuri sana...Ni patriot wa uhakika...ni mzalendo halisi...he has this country at heart...Namuunga mkono JPM, mapungufu yapo lakini hayako katika hicho kinachodaiwa kuminywa kwa demokrasia au mauaji..never....
 
Baba na mama yangu walikuwa tayari wamesha zaliwa ila mimi nilikuwa bado
 

Idd Amini,alikuwa anajua kiingereza safi, Pia alisoma uingereza . Naamini alijua maana ya inflation
 
Lakini WAGANDA wao wanasema Idi Amini aliuondoa umiliki wa uchumi toka kwa Wageni na kuumilikisha kwa WaGanda.Nenda Uganda utaliona hilo. Wageni wanaokuja ni wale wawekezaji wapya sio wale wanaodai wamezaliwa humo.usimcheke Amin ukiwa Uganda.
 

How did Idi Amin create a new Uganda & what's the old Uganda before Amin?

Idi Amin?!!!….


Okay.., Idi Amin Dada was the 3rd president of Uganda. He took power after a successful coupe from President Dr.Milton Obote the first & then former prime minister of Uganda during Sir Edward Muteesa II’s reign.

Now 4 notable things about Idi Amin were;

  1. He was a True Patriot & nationalist.
  2. He was a True Dictator/Autocrat!
  3. A well trained soldier at a Rank of General in the former East African Army though he preferred to be called Field marshal.
  4. He had attained little if not zero of formal education. he wasn’t learned.
So now how did Idi Amin create a new Uganda?

Wait.., Did he? .. I think he was just in the process of Creating a new Uganda something he never accomplished.

  • He wanted to create a Uganda where the citizen has full say and accountability over everything done in it.
  • He wanted to create a Uganda that could be fully driven/governed on the Sharia law!.
  • He wanted to create a Uganda that is independent of foreign drive/rule/command or donation of any kind. In simple terms a completely independent nation.
  • He also wanted to create a government that was Corruption free!!! This he had partly achieved.
 
Lakini WAGANDA wao wanasema Idi Amini aliuondoa umiliki wa uchumi toka kwa Wageni na kuumilikisha kwa WaGanda.Nenda Uganda utaliona hilo. Wageni wanaokuja ni wale wawekezaji wapya sio wale wanaodai wamezaliwa humo.usimcheke Amin ukiwa Uganda.
una umri gani? unaongea unachokijua? Umezaliwa lini? where Were you in 1971?
 


Wewe pamoja na wana chadema wote mnamlilia Mbowe awe rais kuna wengine mpaka wanajipiga vidole hadharani kuonesha hasira zao. Wewe hapo umejipiga vidole mara ngapi kulilia Mbowe au Lissu kuwa rais wa taifa hili la neema?
 


Hauna hoja ya maana, Afrika nzima wanaona gere Tanzania kuwa na rais anayejali maslahi ya wananchi wake, just like Trump....Tanzania kwanza. Wewe ukiona vipi hama nchi au jaribu kuomba ukimbizi nchi za Ulaya uone kama utakubaliwa....do you know why? Ni kwa sababu Tanzania hatuna matatizo ya siasa isipokuwa wananchi wanalalamika because walizoea mteremko na ubabaishaji. Sasa wamebanwa wanatamani kujiua na kuongea porojo zisizokuwa na tija, mbona sie wengine tuna enjoy maisha kama tuko Ulaya tu. Vijana walizoea kuhaibisha Tanzania kila kukicha wanapanda ndege kwenda kuuza unga nje ya nchi, kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete didn't care because wao walikuwa bize kuliibia hili taifa na kuwaacha wananchi nao wakifanya uharamia wa uuzaji sembe. Wababaishaji LAZIMA mtajiua sana ndani ya hii miaka 5 ya utawala bora wa rais Magufuli.
 
Wewe ni zero kichwani. Serikali ya awamu ya 5 hairudi nyuma, lazima wote mtiwe adabu hasa ninyi mawakala wa shetani mzungu na fisadi
 
Gaddafi alikuwa muhitimu was chuo kikuu na alikuwa dikteta


My point is, Udikteta ni hulka ya mtu wala si elimu. Inapobidi kunyoosha nchi LAZIMA ubane nyanja zote za wizi, ubabaishaji, na kusimamia vyema idara zote za serikali kama afanyavyo Mh. rais wetu hivi sasa. Bahati mbaya baadhi ya watanzania wanalalamika kwa kubanwa maana walizoea ujinga na kuhisi ndiyo uhalisia wa watanzania. Hii nchi ilibidi inyooshwe na Mh. rais anainyoosha kweli tena ilibidi ainyooshe mpaka wababaishaji wote wahame nchi na hata kama ikiwezekana wajiue tu. Tunataka Tanzania ya ukweli si ujinga ujinga hapa.
 
Akikupa wasifu wa hao naomba na wewe unisaidie wa hawa..
  • George Washington
  • Abraham Lincoln
Thanks


I'm NOT interested in American politics at all ila kwa kuwa unataka kujifunza toka kwangu ngoja nikupeleke shule. Kwa kifupi tu ni kwamba, George Washington alikuwa ni kamanda (askari) aliyepigana vita dhidi ya waingereza katika kuikomboa Marekani na baadaye akaja kuwa mwana siasa na rais wa kwanza wa Marekani na anatambuliwa kuwa mmoja wa baba wa taifa la kimarekani. Alizaliwa katika familia ya utajiri, wazazi wake walikuwa wanamiliki watumwa na kuwatumikisha katika mashamba yao ya tumbaku. Abraham Lincoln alikuwa rais wa 15 au 16 wa Marekani, huyu alikuwa wakili na mwanasiasa. Aligombania usawa wa wamarekani na kutaka wawe kitu kimoja kwa sababu hakutaka tena umiliki wa watumwa uendelee, matajiri walionufaika na umilikishaji utumwa walimpinga haswa mikoa ya kusini mwa Marekani. Walikuja kumuua kwa kukatiwa mirija ya unyonyaji kwani hawakutaka waafrika wawe huru. Unataka kujifunza nini tena zaidi ya hapa?
 
Wewe ni zero kichwani. Serikali ya awamu ya 5 hairudi nyuma, lazima wote mtiwe adabu hasa ninyi mawakala wa shetani mzungu na fisadi


Waambie hawa wapuuzi wajifunze uzalendo, wakiona vipi wahame tu nchi.
 
Hahaha aseee nimecheka na nahisi kicheko hiki ndio kitachochea kuupata usingizi.

Huyu wakwetu sijui atasema demonstration akamatwe
 
Kuna mwingine ataamuru Frustration akamatwe Mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…