Siku ikitokea tamthilia kali na nzuri kuliko Prison Break naomba mnishtue

Siku ikitokea tamthilia kali na nzuri kuliko Prison Break naomba mnishtue

I'm an agent with the FBI, Brad Bellick. Brad
Bellick, I'm with the Bureau...
 
Prison Break kuanzia season ya 3 ni ujinga mtupu.
 
Kuna mahala nilicheka sana. Tbag kachukua ofisi kwa mgongo wa jina la mtu mwingine halafu akapokea wageni ambao wapo serious.

Kwa chini ya jengo kuna wenzake wanagonga nyundo halafu sauti zinasikika kule juu ofisini. Jamaa alikua kama anataka kupagawa hivi
1728797057052.jpeg
 
Back
Top Bottom