Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie.
Lakini. Dk za jioni Kibu Denis anakuja kuipatia simba bao la ushindi. Sikupenda na sikufurahishwa. Ila nikubali mikia walipambana sana.bila kinyongo, bila chuki. Nasema lile ni bao halali wala halina mgogoro. Dk zilizoongezwa teams zote zilishiriki. Hakuna ambayo ilitolewa nje ya uwanja na kuiacha nyingine.