Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes.
Kuna haja ya kuandikwa upya historia ya TAA-TANU-CCM.
Mkuu kama hutojali utusimulie kifo cha Abdulwahid Sykes maana nimejaribu kutafuta tafuta mitandaoni sijaona chochote.