Siku kama ya Leo 10 Disemba 1963 nchi ya Zanzibar Ilipata Uhuru wake

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar.

Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo kwa takriban miaka 73 (tokea 1890). Mohamed Shamte alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar huru akiongoza serikali huku Sultan akiwa Jamshid bin Abdullah Al Busaidi.

Hata hivyo serikali ya Bw. Shamte haikudumu muda mrefu kwani siku 33 baadae yaani 12 Januari 1964 yalitokea mapinduzi yakiongozwa na Field Marshall John Okello toka Uganda na kufanikiwa kuipindua serikali hiyo na Shamte na Sultan akakimbilia Uingereza.

Tunawatakia Wazanzibar wote heri na fanaka katika siku hii ya kumbukizi ya uhuru wao.

Flag_of_the_Sultanate_of_Zanzibar_(1963).svg.png

View: https://x.com/HilmiHilal88/status/1866352767360553005?t=vQrLXB_mZhEJVnmMtnS0vg&s=19
 
Zanzibar haikuwa huru Hadi pale mapinduzi matukufu yalipofanyika na kufanikiwa
 
Isemwe tu kwamba ni siku ambayo protectorate state in Zanzibar was over ila si uhuru wa Wazanzibari wa kweli.
 
Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar.

Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo kwa takriban miaka 73 (tokea 1890). Mohamed Shamte alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar huru akiongoza serikali huku Sultan akiwa Jamshid bin Abdullah Al Busaidi.

Hata hivyo serikali ya Bw. Shamte haikudumu muda mrefu kwani siku 33 baadae yaani 12 Januari 1964 yalitokea mapinduzi yakiongozwa na Field Marshall John Okello toka Uganda na kufanikiwa kuipindua serikali hiyo na Shamte na Sultan akakimbilia Uingereza.

Tunawatakia Wazanzibar wote heri na fanaka katika siku hii ya kumbukizi ya uhuru wao.

View attachment 3173560

View: https://x.com/HilmiHilal88/status/1866352767360553005?t=vQrLXB_mZhEJVnmMtnS0vg&s=19

Halafu hawaiadhimishi wamekimbilia siku ya mapinduzi yaliyofanywa na Mkenya John Okello
 
MAPINDUZI ya kweli ya uhuru ni leo sio hiyo 12 January
 
Zanzibar ilipata uhuru ila ikifika upande wa Tanganyika , mtaala unachepushwa inaitwa Tanzania bara.
 
1. Uhuru Tanga-Nyika......9/12/1961
2. Jamhuri Tanga-Nyika....9/12/1962
3. Uhuru Zanzibar........10/12/1963 (wameziba masikio hawataki kuutambua)
4. Mapinduzi Zanzibar.......12/1/1964
5. UASI WA JESHI LA KAR na Jaribio la Mapinduzi Tanganyika.....20/1/1964
6. Muungano TAN-ZAN-IQBAL AHMADIYYA.....26/4/1964
7. Uchaguzi wa Kwanza wa rais dhidi ya kivuli.......1965
8. Azimio la Arusha.........5/2/1967
9. Ukomo wa darasa la nane Tanzania........1967
 
Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar.

Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo kwa takriban miaka 73 (tokea 1890). Mohamed Shamte alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar huru akiongoza serikali huku Sultan akiwa Jamshid bin Abdullah Al Busaidi.

Hata hivyo serikali ya Bw. Shamte haikudumu muda mrefu kwani siku 33 baadae yaani 12 Januari 1964 yalitokea mapinduzi yakiongozwa na Field Marshall John Okello toka Uganda na kufanikiwa kuipindua serikali hiyo na Shamte na Sultan akakimbilia Uingereza.

Tunawatakia Wazanzibar wote heri na fanaka katika siku hii ya kumbukizi ya uhuru wao.

View attachment 3173560

View: https://x.com/HilmiHilal88/status/1866352767360553005?t=vQrLXB_mZhEJVnmMtnS0vg&s=19

Historia za Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar zimevurugwa mno, hivyo tumebakia na mapichapicha tu.

Leo hii huwezi kupata picha halisi ya historia ya "pre-independence period" zaidi ya zile za kibabaishaji za TAA na TANU ya Nyerere pamoja na ile historia nyingine ya kibabaishaji ya ASP ya Karume.

Kama taifa hatuwezi kujibana na historia hii ya kibabaishaji eti kwa faida ya waasisi wa taifa letu. Hatuwezi kujiondoa ufahamu katika hili, kila ukweli na upotoshaji ni lazima uwekwe hadharani wote.

Bado hatuja chelewa. Bado tunacho kizazi cha watu wadadisi na wenye uwezo wa kuhoji. Hatuwezi kukiacha kikundi cha watu wachache wakizidi kunufaika na kujitajirisha wao wenyewe kupitia historia ilitipotoshwa.

Saa ya ukombozi ni sasa.
 
Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar.

Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo kwa takriban miaka 73 (tokea 1890). Mohamed Shamte alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar huru akiongoza serikali huku Sultan akiwa Jamshid bin Abdullah Al Busaidi.

Hata hivyo serikali ya Bw. Shamte haikudumu muda mrefu kwani siku 33 baadae yaani 12 Januari 1964 yalitokea mapinduzi yakiongozwa na Field Marshall John Okello toka Uganda na kufanikiwa kuipindua serikali hiyo na Shamte na Sultan akakimbilia Uingereza.

Tunawatakia Wazanzibar wote heri na fanaka katika siku hii ya kumbukizi ya uhuru wao.

View attachment 3173560

View: https://x.com/HilmiHilal88/status/1866352767360553005?t=vQrLXB_mZhEJVnmMtnS0vg&s=19

Naona jana watu walipiga kelele n uhuru wa Tanganyika sio Tanzania leo Zanzibar...
Naona panakaribia kukucha kila mtu abaki na Nchi yake tushachokana sana tu.
 
Back
Top Bottom