Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #41
'Siku kama ya leo' ni kwa ajili ya wazungu tu? Naona lots of wazungu info na kdg waafrika.
Weka na za nzengo yetu ya Tz mkuu
Okay... Nimetabasamu kwenye hiyo The Golden mana ni jina la group letuMarch 21 , 1989 huko Spain alizaliwa beki wa kushoto ambae kwa sasa anakipiga Barcelona hapa namzungumzia Jordi Alba...
Manute Bol pamoja na Gheorghe Muresan ndio wachezaji warefu zaid ktk historia ya NBA wakiwa na 7.7 jabbar alikua na 7.2.... Rekodi ya jabar ni mchezaji aliefunga vikapu vingi zaidi ktk historia ya nbaKareem Abdul-Jabbar mchezaji mrefu zaidi wa wakati huo, pengine na sasa ktk NBA aliifungia timu yake ya Milwaukee Bucks pointi 50.
lakini hio haikutosha, kwani walipokea kichapo cha pointi 123-107 toka kwa Los Angeles Lakers.
hio ilikuwa ni siku kama ya leo
Manute Bol pamoja na Gheorghe Muresan ndio wachezaji warefu zaid ktk historia ya NBA wakiwa na 7.7 jabbar alikua na 7.2.... Rekodi ya jabar ni mchezaji aliefunga vikapu vingi zaidi ktk historia ya nba