Siku kama ya leo, Mwaka...

Siku kama ya leo, Mwaka...

'Siku kama ya leo' ni kwa ajili ya wazungu tu? Naona lots of wazungu info na kdg waafrika.

Weka na za nzengo yetu ya Tz mkuu

mkuu asante.
nategemea kupata kumbukumbu nyingi za wabongo toka kwako
 
THE KING OF MARCH IS BORN...
Siku kama ya Leo katika mji wa Porti Alegre nchini Brazil mtoto Ronaldo De Assis Moreirra alizawa.
ishara nyingi za kuja kwake zilionekana mapema na kuashiria kuwa Mbarikiwa yumbioni kuzaliwa.
viunga vyoote vya Brazil leo hii vinasherehekea siku hii muhimu kwa historia ya Taifa la Brazil.
 
siku kama ya leo mwaka 1997, Snoop Doggy Dog alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na faini ya $1,000 sawa na pauni (£588) kwa kushambulia kwa kutumia silaha.

ushahidi wa tukio hilo ulifikiwa baada ya bastola iliotumika kukutwa ndani ya gari lake kufuatia upekuzi ulioendeshwa na polisi waliokuwa waneweka kizuizi barabarani.
 
siku kama ya leo mwaka 2001, Eminem alitakiwa kulipa $476,000 sawa na pauni (£280,000) kama gharama katika makubaliano ya taraka kati yake na mtalaka wake Kim.
 
treni yenye kujiendesha yenyewe ilifanya safari yake ya kwanza mjini London. hii ilikuwa mwaka 1963 siku kama ya leo
 
nchi ya Namibia ilipata uhuru wake siku kama ya leo mwaka 1990.

nchi hio ya Namibia kwa sasa ina jumla ya watu milioni moja na lak saba tu.
 
katika mji wa Macon nchini France siku kama ya leo Antoine Griezmann alizaliwa...hii ilikuwa mwaka 1991
 
March 21 , 1989 huko Spain alizaliwa beki wa kushoto ambae kwa sasa anakipiga Barcelona hapa namzungumzia Jordi Alba...
Okay... Nimetabasamu kwenye hiyo The Golden mana ni jina la group letu
 
Kareem Abdul-Jabbar mchezaji mrefu zaidi wa wakati huo, pengine na sasa ktk NBA aliifungia timu yake ya Milwaukee Bucks pointi 50.

lakini hio haikutosha, kwani walipokea kichapo cha pointi 123-107 toka kwa Los Angeles Lakers.

hio ilikuwa ni siku kama ya leo
Manute Bol pamoja na Gheorghe Muresan ndio wachezaji warefu zaid ktk historia ya NBA wakiwa na 7.7 jabbar alikua na 7.2.... Rekodi ya jabar ni mchezaji aliefunga vikapu vingi zaidi ktk historia ya nba
 
Manute Bol pamoja na Gheorghe Muresan ndio wachezaji warefu zaid ktk historia ya NBA wakiwa na 7.7 jabbar alikua na 7.2.... Rekodi ya jabar ni mchezaji aliefunga vikapu vingi zaidi ktk historia ya nba

siku kama ya leo Balozi wa Uingereza nchini Uholanzi Sir Richard Sykes alipigwa risasi na kuuawa nje ya nyumba yake mjini Amsterdam...hii ilikuwa mwaka 1979
 
on this day 2002, A woman paralysed from the neck down has won the legal right to die by having her treatment withdrawn.
The judge in the case then urged her to reconsider her decision.
The 43-year-old woman, known as Miss B after she was granted anonymity, watched via a video-link from her hospital bed as Dame Elizabeth Butler-Sloss delivered the landmark ruling.
 
Gazeti la kwanza la rangi lilitolewa nchini Uingereza siku kama ya leo mwaka 1904.
gazeti hili liliitwa Daily Mirror
 
siku kama ya leo mwaka 1948 alizaliwa mtangazaji wa CNN Wolf Blitzer
 
March 22, 1999
Milwaukee's Dell Curry alifikisha pointi 1,000 za mirusho ya pointi 3 katika ushindi wa pointi 106 dhidi ya 78 za Golden State Warriors.
 
March 22 mwaka 1996 Magic Johnson alitoa pasi 7 zilizozaa magoli katika mechi ambayo Sacramento waliwatembelea Lakers na kukubali kichapo cha pointi 102-89.

Magic Johnson akawa mchezaji wa pili kwa NBA kufikisha assist 10,000
 
jumanne ya mwezi March tarehe kama ya leo mwaka 2011,
Steve Nash wa Phoenix Suns alitoa assist 20 katika kibano cha pointi 139-137 toka kwa Los Angeles Lakers.
 
siku kama ya jana yaani machi 21
DJ Premier alizaliwa.
hii ilikuwa mwaka 1966
 
siku kama ya leo soundtrack ya kwanza ya Movie ya Above the Rim ilitolewa.
hii ilikuwa ni mwaka 1994
 
Back
Top Bottom